Watanzania walioenda sayari ya Mars wameishia wapi??

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,983
12,701
Miezi kadhaa iliyopita kuna taarifa zilisambaa mitaani kuwa kuna mapacha wa kitanzania wanaosoma Havard University. Taarifa ziliendelea kueleza kuwa mapacha hao walienda sayari ya Mars, na walirudi nyumbani Tanzania kuonana na rais Kikwete. Ghafla taarifa zao hazisikiki tena. Nimejaribu ku-google sijapata taarifa zozote.
Mwenye taarifa zao vipi bado wapo Tanzania au wamerudi Havard au sayarini mars?
 
Hahahah Katavi acha maskhara mkuu...
Hakuna mwanadamu amabaye ameshawahi kufika sayari nyingine kwenye Solar system...
Miaka yote wanadamu wamekuwa wakienda kwenye mwezi, au kwenye kile Kituo cha Anga cha Kimataifa ambacho kipo outerspace au safari za kawaida za kuzunguka Dunia.
 
Last edited by a moderator:

kha! mbona walisharudi mars kitambo sana mkuu. ulikuwa ujasikia tu?
 
Hahahah Katavi acha maskhara mkuu...
Hakuna mwanadamu amabaye ameshawahi kufika sayari nyingine kwenye Solar system...
Miaka yote wanadamu wamekuwa wakienda kwenye mwezi, au kwenye kile Kituo cha Anga cha Kimataifa ambacho kipo outerspace au safari za kawaida za kuzunguka Dunia.
Mkuu hii habari ilizagaa sana na iliandikwa na gazeti la Mwananchi, ajabu ni kuwa eti walikataa kupigwa picha, na walikuwa na mpango wa kwenda ikulu kuonana na rais...
 
Haa ha Ha hujui wajinga ndio waliwao.

Halafu eti mmoja anasomea uinjinia mwengine udaktari afu wakamfanyia mtu oparesheni... kisha wakaenda Mars... Wabongo kwa kushabikia ujinga tunaongoza
 
Wale ni wahaya, si unajua kina nshomire kwa mbwembwe na majivuno? Na wakikukuta mjinga mjinga kama JK basi ndio utadanganywa weeee hadi utembee uchi kwa kulewa sifa kama mfalme Juha
 
ahahahahaaa umenifurarisha mtoto wa kitanga ww
 
Back
Top Bottom