Watanzania wakamatwa wakielekea somalia kujiunga na al shaba!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
Unaweza hisi ni mama na mwana kiipindi la hasha
hii ni maelezo ya sauti ya waziri wa mambo ya ndan mh shamsi vuai jana akiwa anaongea
na clouds fm akasema ni kweli kuna watanzania wamekamatwa mpakani unajua tuna uhusiano
mzuri na vyombo vya usalama wengine so tumeambiwa wako wengi tu na wengine walipobanwa walikiri
kwenda kujiunga na alshabab na binafsi sina maelezo mengi sana sana naomba nikirudi dar ntawajulsha

kazi ipo nini mbeya .tabora wanaume wameenda kula kozi kwenyewe warudi kutumikia watanzaania na asali
yao ya madini wanayokula na kufaidi wachache
 
shibisha taarifa yako. Kuna uthibitisho gani kuwa wameenda kujiunga na shababy hata kama waziri kasema? Mbona tulishadanganywa kuna makomandoo toka afgani na irani (sijui)?
 
shibisha taarifa yako. Kuna uthibitisho gani kuwa wameenda kujiunga na shababy hata kama waziri kasema? Mbona tulishadanganywa kuna makomandoo toka afgani na irani (sijui)?

Na makontena ya visu toka Arabuni kama alivyoongopa yule mbakaji wa House girl wake
 
Back
Top Bottom