Watanzania wakamatwa Dubai

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Umeona tabia zetu eeh?

Huko Oman tunasifika kwa makubwa zaidi
==============================

Burglary ring cracked

Police say they have cracked a burglary gang that stole almost dhs10 million from 30 houses in one month.

The head of the Criminal Investigation Department, Brigadier Khaleel Al-Mansouri, said burglaries occurred at villas in the Mirdif, Jumeirah and Rashidiya areas while the owners were away in May.

“Our investigation led us to two suspects from Tanzania who were knocking on the doors to check if anyone was home,” he said.

If someone was home, they claimed to be beggars looking for money, Al-Mansouri added.

If the house was empty, they would break in and steal belongings.

They stole gold, money and other valuables from the houses worth dhs10million.

Al-Mansouri said: “The suspects even used teargas on dogs at two villas before committing their crime.”

Two men have been arrested, one was caught by a police patrol and the other was arrested at a hotel in the Naif area.

Colonel Ali Bin Ganem, from Dubai Police, urged residents to notify the police if they were going on holiday this summer. Officers would then make daily checks on their property.

He said: “It’s a useful programme as the participant just puts details on our web site and then go away and our patrols will look after the house.”
He added: “We want a summer without burglaries.”

Source: 7DAYS - Burglary ring cracked

==============================================

al muhim hawajaenda kuiba Deira lakini tunajiibia wenyewe kule Rashidiya...wabongo bwana!
 
Dah! Hivi tutajifunza lini kuacha tabia hizi za kishenzi? Hawa watu ndio wanaowafanya Watanzania walio wema wanyimwe viza! Tuiombe serikali ya Oman iwarejeshe waje kula mkong'oto wa nguvu, in public, iwe fundisho kwa wengine! Dawa yao hawa ni kuwatia ulemavu wa maisha... kata kiganja cha mkono (kosa la kwanza), akirudia unakata kilichobaki, akirudia unakata mkono mmoja, akirudia unakata mwingine, mpaka atabakia hana viungo...

Next......?
 
duuuh,.... Mwana wa Haki!!
 
MwanaHaki hii si ndio njia inayotumika arabuni kukomesha wizi? Nasikia kule hakuna wezi kabisa sijui ni kweli ?
 
Hawa jamaa siamini kama ni wezi, Mtu mweus sikuzote ankua suspected hasa ukipita mitaafulanifulani, na hiyo evidence iliyotolewa na polce inaonyesha wazi jamaa amekamatwa mitaani anaomba wakti wao polisi waki-patrol.

Membe (Foreing afaires) kama kawaida yao, hawatotaka kabisa kumsaidia huu jamaa.!!! POOR BLACK PEOPLE
 
Sijui kama unafahamu hadithi ya Liongo. Liongo alikuwa anaishi na mama yake ambaye alimdekeza kupita kiasi. Kutokana na kudekezwa huko, Liongo alikuwa anafanya kila kitu bila kugombezwa. Akaanza tabia za wizi, na watu wakimsema, mama yake alimtetea. Vile vile alimletea mama yake vitu vingi vya thamani, ambavyo mama alivichukua bila kuuliza vimetoka wapi. Siku moja Liongo aliua mtu katika wizi wake, akahukumiwa kunyongwa. Kabla ya kuvishwa kitanzi, akaomba kuongea na mama yake kwa kumnong'oneza. Badala ya kufanya jivyo, Liongo alimtafuna na kumkata sikio mama yake na kusema kuwa hii ilikuwa ni kumuadhibu mama yake alieyemuacha andelee na tabia mbaya, tabia zilizosababisha kufikia kwake kunyongwa!
 
Dah! Hivi tutajifunza lini kuacha tabia hizi za kishenzi? Hawa watu ndio wanaowafanya Watanzania walio wema wanyimwe viza! Tuiombe serikali ya Oman iwarejeshe waje kula mkong'oto wa nguvu, in public, iwe fundisho kwa wengine! Dawa yao hawa ni kuwatia ulemavu wa maisha... kata kiganja cha mkono (kosa la kwanza), akirudia unakata kilichobaki, akirudia unakata mkono mmoja, akirudia unakata mwingine, mpaka atabakia hana viungo...

Next......?

eeh,,,Mwanahaki mbona hapo bora tungeanza na hawa wetu wa EPA na mengineyo? Kuliko hao wa kutaka mkono uende kinywani, na inavoonekana bado inahitajika ushahidi wa kutosha. Sisi wezi tunao na tunakula nao kisha tunaigiza kuwapeleka mahakamani...haki iko wapi?

next.....
 
Back
Top Bottom