Watanzania wa haki ya kuhoji ukimya wa waziri mkuu mizengo pinda kwa sasa

Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
4,780
3,227
Wahenga walisema kimya kingi kina mshindo mkuu, katika kipindi cha mwezi Mei waziri wetu mkuu amekuwa kimya kiasi cha kutia shaka, kulikoni????? mshindo mkuu unaosubiriwa utakuwa hasi au chanya????
Inavyoonekana kuna hitilafu ambayo haijawekwa wazi juu ya utendaji wake.

Plse mwenye taarifa atujuze, maana huyu ndiyo mtendaji mkuu wa serikali na pia bunge la bajeti liko mbioni kuanza lakini yeye hajulikani aliko.Mara ya mwisho kwake kuongea kupitia media ilikuwa siku ya kusaini ujio wa misaada ya wahisani wachangiaji wa bajeti ambapo tz ilikubaliwa kupatiwa dola za kimarekani 453 million pungufu na za mwaka jana (534millioni)
 
Membe alituambia alikuwa uingereza ku-check afya! may be ameshauriwa apumzike b4 ya kikao kirefu cha bunge next week.
 
Back
Top Bottom