Aaa,wasikuumize kichwa hao,wengine huko ughaibuni nanga zimeshapaa kitambo wanakosa hata nauli ya kurudi kwao,walichoambulia ni lugha za kigeni na mother fucker nyingiiiii,plus kupiga picha kwenye mali za watu.Kwakifupi wamekwama!!
Mimi nashindwa kuwaelewa hawa watanzania wenzangu waishio ughaibuni.
Hawa wako kwenye mafungu.
Watoto wa waliokua mabalozi wa Tz nchi za nje
Watoto wa mafisadi.
Watoto ambao kwa njia moja au nyingine hawakufika huko kwa njia ya uhalali.
Swali lakujiuliza nikwanini hakuna tunachoona cha maana kama kuandaa chakula au kitu kama CHANGIA MAENDELEO YA TANZANIA au kuchangia maendeleo ya sehemu wanazotoka?
Unayoona nikuwa na vikao vyakusifia CCM,kuanzisha matawi ya CCM ugenini, Kampeni za CCM ugenini, hivi utatembea na fulana yako iliyoandikwa chagua CCM marekani nani atakayepiga kura huko? au kuna kupiga kura nje ya nchi, As far I know hakuna kitu kama hicho kwa Tanzania.
Najua wamarekani ndio wanaoweza kupiga kura wakiwa nje ya marekani. Jengine sherehe zisizokua na kichwa na miguu.
White party sijui nyekundu party.
Chakushangaa zaidi ni hawa watu wanaofaidika na maendeleo ya magharibi lakini wao ndio wa kwanza kushabikia CCM izidi kuwaumiza watanzania wenzao ambao hata maji masafi ya kunywa ni shida, hapo sijaongelea mlo.
Wengine eti wanasifia maendeleo ya magharibi lakini unashindwa kuwaelewa kwanini mtu azidi kusifia cha watu wakati chako kinadorora?
Utakuta mtu anasema nimejifungua kwenye first class hospital, what a heck? huu ni ushamba au ninini?
Marafiki zangu huku ughaibuni ambao wameshawahi kufika Tanzania wanasema itachukua karne watanzania kujua haki zao na majukumu yao na sio kutegemea wazungu wanaokuja Tanzania kuwafundisha namna yakujiendeleza
Aaa,wasikuumize kichwa hao,wengine huko ughaibuni nanga zimeshapaa kitambo wanakosa hata nauli ya kurudi kwao,walichoambulia ni lugha za kigeni na mother fucker nyingiiiii,plus kupiga picha kwenye mali za watu.Kwakifupi wamekwama!!
Hivi kuna mtu anaefahamu idadi ya watanzania waliopo ughaibuni ni ipi? Kwa mfano UK wako wangapi na US wako wangapi? Je hawa wanalipa Income Tax?
Ebo! Wajenge zahanati na shule na kazi ya serikali kuu/kata itakuwa ni ipi? Haya mawazo ya kutegemea kusaidiwa kila siku ndio yanayotudumaza na kutufanya tusiendelee.
2. Sikusema kwamba watanzania waishio ughaibuni waombe misaada kusaidia nyumbani bali niliweka mifano ya Harambee ili japo tukirudi TZ tunajua kwamba kuna hata ni shule au zahanati iliyojengwa kwa michango ya watanzania waishio ughaibuni.
Ndio unasaidia ndugu zako kuwatumia pesa je watanzania wengine ambao hawawezi kupumumua kwa matatizo unashindwa kuwasaidia?
KUTOA NI MOYO SIO UTAJIRI.
Mwisho nawawekea picha ya kampeni huku marekani
View attachment 14351
Hiyo income tax wailipe wapi Tanzania ama uko waliko?Hivi kuna mtu anaefahamu idadi ya watanzania waliopo ughaibuni ni ipi? Kwa mfano UK wako wangapi na US wako wangapi? Je hawa wanalipa Income Tax?
Sasa mbona mnafanya upumbavu pumbavu wa kuchangisha feza huko. hamuoni ni ujinga watz wanalia na umasikini harafu ninyi ndiyo mnajifagilia eti tumechangiwa na waziri mkuu!!!!!!!, nawashangaa sana! badala ninyi mchangie tz kwa sababu mnapata japo kipato cha kueleweka ndiyo mnageuka ombaomba! Mrudi sasa kama maisha yamewashinda! mje muone makali ya umasikini na foleni ilivyo Dar!
Nadhani hapa ni watu kushindwa kuelewana tu. Wale waliopo Tanzania wana jaribu kujusitfy hali zao duni kwa kujaribu kuonyesha kuwa wote waliopo nje ni ma loser na wale waliopo nje japo wengi wao hawaja fanikiwa wana jaribu kuonyesha kwamba kuwepo kwao ughaibuni siyo all for nothing. In short hapa masikini wana shindana nani ni masikini zaidi (na naongelea kwa generalization kama mada ilivyo wekwa).
Ukweli ni kwamba Watanzania waliopo nje ambao wameendelea sana ni wachache na hii ina tegemea pia na definition yako ya maendeleo ni nini. Kama kuwa na huduma za afya nzuri na shule bora ni kweli wanje wana faidika na hivyo vitu lakini hivyo vitu si matokeo ya maendeleo binafsi bali ni vitu una vipata by default kwa kuwa huko. Kwa hiyo tofauti kubwa ya majority ya watu wa nje na waliopo nyumbani ni hiyo kwamba wanje wana pata benefit ya hizi "default services" lakini haimaanishi wa nje ana maendeleo yoyote ya kumshinda wa nyumbani. The difference is in being average abroad and being average back home.
Kwa wale waliopo Tanzania kuna wale ambao wana kinyongo na watu waliopo nje. Tuseme ni kama they are taking their frustrations out on the diaspora. Ni kukosa kuangalia the big picture. Ukiagalia kiundani wengi (si wote) wa Watanzania waliopo nje si professionals na hata kama ni professionals una kuta mtu hafanyi kazi inayo endana na profession yake (that is una weza ukamkuta mtu kasomea udaktari lakini huko nje siyo kazi anayo fanya). Kwa maana hiyo not to sound disrespectful lakini Watanzania wengi waliopo nje they wouldn't make much difference whether they were abroad or back home. Leo hii diaspora nzima ya Tanzania irudi nyumbani ndiyo Tanzania ita tajirika?
Kwa hiyo ndugu yangu maisha ni popote pale mtu mwenyewe anapo amua. Kuna baadhi wameamua kukaa nje waache wakae nje whether wana changia nchi or not. When it comes down to it wengi wetu tunajiangalia sisi binafsi kwanza, kisha familia then categories zingine zina fuata. Kumuambia mtu arudi Tanzania kwa sababu ya kuchangia taifa haimake sense kwa mtu kwa maana mtu ana angalia kwanza nini chenye manufaa kwake.
So in short wakuu Tanzania ita jengwa na Watanzania (wawe nje au nyumbani) ambao wameamua kuchangia taifa kwa namna moja ama nyingine. Una weza ukawa nchini Tanzania na usiwe na faida yoyote kwa taifa na una weza ukawa nje na ukawa na mchango mkubwa tu. Cha msingi ni kukusanya nguvu za watu ambao wana weza kumake a differece. Mtu uta lalamikaje mwenzio ambao ana bangaiza na menial labor hachangii taifa? Ata changia nini? Aache kujiangalia yeye na wa karibu yake kwanza? Na hata ambae yupo nyumbani lazima ajiulize ana lichangia nini taifa? Una weza ukaishi Tanzania na bado ukawa liability badala ya asset kwa taifa.
Na kuhusu hayo makundi yako matatu uliyo yataja ukweli ni kwamba they constitute a small minority. Watanzania wangapi nje baba zao ni mabalozi? Wangapi baba zao ni mafisadi? Idadi kubwa ya Watanzania waishio nje ni watu wa kawaida ambao wali pata zali ya kwenda nje na kuamua kuchukua hiyo nafasi. Tena I guarantee you watoto wengi ambao baba zao wana nafasi Tanzania hurudi kwa sababu nyumbani wana connections nyingi zaidi na pia una kuta nyumbani wana mali nyingi zaidi. Wengi ya ambao huamua kwenda Marekani na kubaki huko ni wale ambao una kuta hawana kitu cha maana walicho kiacha Tanzania zaidi ya familia zao na ndiyo maana kwao kubaki nje ni rahisi zaidi. But I guarantee you most of the people who have something to go back home to (mali, job prospects nk) wata rudi).
Najua post yangu ina weza kuonekana harsh but ukweli ndiyo huo.
Ebo! Wajenge zahanati na shule na kazi ya serikali kuu/kata itakuwa ni ipi? Haya mawazo ya kutegemea kusaidiwa kila siku ndio yanayotudumaza na kutufanya tusiendelee.