Watanzania tuwachangie wanafunzi waliokosa mikopo Mungu atatulipa

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,645
Watanzania wenzangu naombeni tuanzishe kampeni ambayo tutaiita " tunakusomesha uje kujenga taifa" iwe kampeni maalumu ya kuchangishana pesa ili tuweze kuwapa mikopo wanafunzi walio kosa mimi nina imani tukipatikana watanzania mil 30 tukaweka kiwango fulani cha pesa atushindwi kutoa mikopo kwa Watanzania wenzetu ambao ni asilimia 0.019% ya Watanzania wote,clouds media tuongozenu kwa jambo hili
 
Ati wajenge taifa. Labda la migegedo na michepuko. Tokea wakose mikopo hatuwaoni hapa na mada zao za kijinga jinga.


Ndukiiiii
 
Mtaishia Jela.. Kwanza mtaitwa Bavicha, hata hapa JF angalia post zitakazofuata mtaitwa ukawa bavicha etc.
na Magufuli atawatia jela. Sio kwamba Serikali haina pesa, pesa ipo na nchi ni tajiri sana ila tu chini ya serikali ya Magufuli wateule(mrisho gambo) ni wachache maana yake watakaosoma chuo ni wachache sana.
 
Back
Top Bottom