Elections 2010 Watanzania tuungane kuing'oa ccm,tutaandamana pande zote mpaka kieleweke

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,175
11,177
Tumedhamiria kuing'oa ccm kama ckuitowesha ktk raman ya tanzania. Uchakachuwaji wamatokeo umeanza na kama hatutopata haki basi ni wito wangu kujaa ktk kila kona ya barabara kuishinikiza ccm kung'ooka, damu ya watanzania ikimwagika ni bendera za ccm zitatumika kufunga nakuta dam hyo. Tumechoka tumechoka. Next tunaingia barabarani. Ccm lazima ing'oke in Jesus might name.
 
Hatuko tayari kumwaga damu kama unavyohamasisha. Acha kufanya kazi ya Ibilisi.
Mwaga ya kwako, waache wa Tz.
Mungu tuepushe na watu wenye mawazo kama haya. SHAME ON YOU.
 
wewe kishongo unachooogopa ni kitu gani, kwani kumwagika damu ina maana gani kwako???? acha woga.tunataka mabadiliko sasa.SHame iwe kwako wewe. nyinyi ndio mlionyweshwa maji ya kijani kila kitu kwenu ni sawa na jana ya mbele hamtaki hata kuyajua. big up TUMAINIELI tumechoshwa kuibiwa kila siku:nono::nono::nono::nono::nono::nono: sasa basi na inatosha
 
Chadema hamuyawezi hayo, kwani si wapinzani wa kweli, kauli kama hiyo iktolewa na cuf nntaimini.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom