Watanzania tuungane kufanya mabadiliko ya jamii ya tanzania kwa amani kama kawaida

TEMILUGODA

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
1,389
285
Wakati umewadia,sababu tunazo,nguvu na uwezo tunao,tunahitaji tuweke nia tu ya kufanya mabadiliko ya kijamii kwa amani kama kawaida yetu.Kwa wapinzani wanatakiwa kuelewa kwamba haiingii akilini kufahamu kwamba serikali hii imepwaya,imeyumba,imefilisi taifa,imefilisika,inafungasha mkanda wananchi,imechanganyikiwa,twende barabarani dunia ione na Mungu apokee maombi ya pamoja.
 
Tuwaondoe kwa sanduku la kura mwaka 2015.
Kwa sasa maandamano yanasaidia kusambaza elimu ya uraia kwa wananchi.
Tulikuwa na maadui wakuu watatu wakati tunapata uhuru ...sasa adui yetu mkuu na mama wa hao maadui hao ni CCM.
 
huyo mama anawatoto wengine wawili mtawajua mkipevuka akili jumla ni watano wawili walibaki dhamana kwa mkoloni!
 
Back
Top Bottom