Watanzania tunanyanyasika malawi!

Zaidi ya watu 5000 wamekusanyika na kupigwa picha wakiwa uchi in the name of art and diversity. Kweli dunia iko ukingoni..

3388964.jpg
3388985.jpg
3388994.jpg
3388989.jpg
hii post yako inahusiana kuwapa relief watanzania wanaonyanyasika malawi?? gimme break bana! lol
 
Rudini home hata huku mnaweza kufanya hizo biashara, kwanini mnyanyasike utadhani wakimbizi wakati na nyie mna kwenu?
 
Tunashukuru kwa mawazo na ushauri na mungu awabariki wana JF wote kwa kuwa na busara na hekima, Asanteni woto!
 
Tunashukuru kwa mawazo na ushauri na mungu awabariki wana JF wote kwa kuwa na busara na hekima, Asanteni wote!
 
Hatimae watanzania wenzetu waliokuwa wanasotea gerezani toka juzi waachiwa huru ila paspot zao hawajapatia zipo kwa maafisa wa uhamiaji!
 
Hivi Hakuna ubalozi wa Tanzania hapo Malawi...Na kama upo haujapata taarifa zozote juu ya kunyanyaswa kwa watanzania...Na kama wamepata inamaana balozi anakula bata tu...Kama hajapata fanyeni juhudi haraka muwasiliane nae.
 
Back
Top Bottom