Watanzania tumelala amkeni

Makupa

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
5,002
2,532
Nimefanya utafiti mdogo tu nikagundua ya kwamba Supermarket zote kubwa hapa tanzania wanauza bidhaa ambazo hazizalishwi kwenye nchi ambazo hao wawekezaji wametoka,mfano shoprite ambayo inaaminika ya kuwa wawekezaji wanatoka south africa lakini asilumia sabini ya bidhaa wanazouza zinatoka china na south korea kwa hivyo basi kwa nini watanzania wazawa wanashindwa kuendesha hizi biashara uchuuzi kama hizi
 
Back
Top Bottom