Watanzania tuamke

melimeli maganga pau

Senior Member
Jun 23, 2012
148
32
Sisi watanzania tumefanywa kama hatuna uelewa lakini kuna baadhi ya watu ambao hawana uchungu wa nchi hii hususa yule mbunge wa nzega aliyesimama bungeni na kusema MTU YOYOTE MWENYE UCHUNGU NA NCHI HII AENDE HOSPITALI AKAZAE hayo ni maneno ya kejeli kwa watanzania
 
Hata miye nimemsikia huyo Mbunge..... Lakini tutafanya nini?
.....Tunaogopa kupelekwa Mabepwande!!!
 
Hata miye nimemsikia huyo Mbunge..... Lakini tutafanya nini?
.....Tunaogopa kupelekwa Mabepwande!!!

Usiogope maana usipo pelekwa wewe atapeleka mtoto wako,mkeo au ndugu yako....Huyo mbunge dawa yake 2015 binafsi nitamwezesha kadri ya uwezo wangu mbunge wa upinzani atakae onekana kuwa na nguvu kumuondoa huyo gamba...
 
Huyu mbunge haitambui kama yeye ni mjamzito na kwamba anatakiwa ajifungue 2015 ? siku hiyo atajua kama mwenye uchungu ni chadema au yeye
 
Back
Top Bottom