Elections 2010 Watanzania sikia!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Jamani nawaomba mrudi nyuma mtafakari zaidi juu ya mgombea huyu ambaye ni rais wa tanzania kweli anathubutu kutwambia watanzania kwamba ahadi nyingi alizozitoa ni za hapokwapapo??!!!inashangaza sana nawasiwasi juu ya mgombea huyu??,anaulizwa swali kuhusu sura ya serikali ijayo atakayoiunda anaongelea teknorojia ya habari?ICT kwakunganisha shule zote za sakondari zilizopo wilayani kwenye network moja ya fibre?je mwananchi wakawaida anajua nini kuhusu fibre?je huo umeme ukowapi?wakati shule hazina milango,walimu,viti,vyoo!!hapana msifanye mzaha kwenye maisha yawatu.CCM mlipofika basi hebu kaeni pembeni mpokelewe kijiti kwani mbio zenyewe nizakupokezana vijiti na wala siyo mita 300 kuzunguka uwanja pekeyako bali nimbio za kupokezana!siyo kama mnavyotaka kjzifanya marathoni!!
 
Back
Top Bottom