Watanzania sasa wanaishi kwa kuvaa nguo za promosheni

The Prophet

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
682
94
hali ni mbaya sana mitaani. unakuta raia kavaa fulana ya Tusker, hafu katia kofia ya Chagua CCM chagua kikwete.

ukiuliza utaambiwa fulana ya Tusker aliipata baada ya kujibu swali kwa usahihi wakati wa promo ya bia ya Tusker kwenye moja wapo ya baa. ukichimba zaidi utaambiwa kofia aliipata kwa kuhudhuria mkutano wa ccm kwa mtindo wa kupakiwa kwenye malori.

kama haya maisha bora, basi mimi natunga verse.
 
Tatizo la Watanzania wengi ni waoga sn kuamua jambo kwa vitendo lkn kwa maneno matupu tu hatujambo,wacha waendelee kuwa masikini na tutazaliwa tutazaa na kupata wajukuu mpaka kufa bado wengi wetu(Watanzania)tutakufa masikini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom