rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,887
- 3,412
- Thread starter
- #21
ok then!
ngoja niendeleze maisha yangu hapa na kusahau ya huko,
hapa naishi vizuri sana lakini kelele za nchi yangu haziishi masikioni mwangu,nitajifunza kuziba masikio yangu na kuendeleza maisha yangu kama kawaida,
kwa taarifa ni kwamba hiyo nchi haina mwenyewe,kwa herini!,..
nakuonea huruma sana mkuu,
endelea na maisha yako huwezi kukubalika kwenye hii system fake hapa tanzania,
kama una uwezo anzisha vita ya msituni tutakuunga mkono manake hapa maji yapo shingoni,
tumepiga kelele kama zako na tulishakata tamaa
ni ushauri tu!