kagamba kadogo
Senior Member
- Apr 24, 2011
- 178
- 13
Niko hapa belgium naambiwa watanzania wakarimu na matajiri sana kwani raisi wetu hakatai mialiko hata graduation ya chekechea na anatumia fedha za dhahabu tunazouza.... Du kweli mambo
Niko hapa belgium naambiwa watanzania wakarimu na matajiri sana kwani raisi wetu hakatai mialiko hata graduation ya chekechea na anatumia fedha za dhahabu tunazouza.... Du kweli mambo
Sometimes you guys mmezidi... JK ana madhaifu kibao but at least he is not secretive of his ID and his ways.... Tuko katika international forum and you claim you are in Belgium... are you saying there is no worthy news than this??? Am sorry kama nitakua nimeku offend but it is too much sasa... Kwani ni uongo kua Watanzania ni wakarimu... JK ni raisi of course he is rich like any other president in the world especially in Africa - mana ni jadi kujilimbikizia kama wewe utavyofanya ukipata hio nafasi.. Inasikitisha sie Watanzania si wazalendo - walalamishi but ukipata nafasi ya kuwakilisha wananchi you forget... Na kwa taarifa yako si hela za dhahabu tu... pesa kibao...
Please give us some worthy news...
kidogo kidogo mama...naona umewasha moto usiku wa manane. angalia usije kosa usingizi bure au ukaota majinamizi kwa kulala na mzuka wa hasira mtimani
Manumbu haya mambo yanachosha akili kweli ndo maana inatakiwa upite hii mitaa akili ikiwa alert na fresh, alafu unakuta watu wamekutupia thread kama hii katika international forum na ukute ni Msomi.... Tutafika kweli???