Rejao
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 9,220
- 4,056
Hahaha...mkuu hii nimeipenda!!Nina Mitsubish Pajero ndogo 1,
Hiace yakuniingizia alfu 40 daily 1,
Mazda Demio ya kubadilishia Pajero 1, zote nalaza msikitini,
lakini nimejibana kwenye kajiupande ka vyumba vi-3 sinza,
Maisha ndo haya, na yanasonga mbele,
Viwanja vyenyewe mjini vishaisha, nani akajenge huko madongo kuinama?
Biashara ya kuamka saa 10 za usiku kila siku kuwahi foleni siziwezi