Watanzania na Ulimbukeni Matumizi ya Simu

Kama ilivyo kawaida, Watanzania tunapenda sana kumiliki LIABILITY kuliko ASSETS. Labda kwa sababu liability zinaoneka na watu wengi kwa urahisi.....hivyo ni sifa...
 
<b><font size="4"><font color="#0000cd">Kama ilivyo kawaida, Watanzania tunapenda sana kumiliki LIABILITY kuliko ASSETS. Labda kwa sababu liability zinaoneka na watu wengi kwa urahisi.....hivyo ni sifa...</font></font></b>
Liability ni nini na assets ni nini mkuu! Nahitaji ufafanuzi!
 
Liability ni nini na assets ni nini mkuu! Nahitaji ufafanuzi!

assets ni kitu kinacho ongezeka thamani kila siku

mfano nyumba,hisa za makampuni...dhahabu na vito hivi...
majengo ya kupangisha.....

liability ni kitu kinacho pungua thamani kadri siku zinavyo kwenda
mfano magari,nguo,fanicha n.k
 
Hakuna kitu kinachonikera kama kumwona mtanzania mwenzangu anamiliki simu ya laki hata tatu, lakini ni kwa matumizi ya kupiga, kupokea na kutuma msg tu.
Mi nilisikitika kuna siku nilitoka mwanza - Dar kwa basi,,ni mimi peke yangu ndo nilikua nakula JF japo kisimu changu hakizidi 45000/=, (nokia 2330) wengine wamelala na wengine wakipiga simu au kutuma mesiji au kucheza gemu,,bila kujali wanamiliki simu za malaki ya fedha.

Mimi ndo nikawa nawataarifu kuwa bajeti ya wizara ya madini imekataliwa nk.

-Wengine hawajui kuwa kwenye simu kuna saa ( mfano simu inaonyesha mwaka 2010)
-wengine hawajui kuwa kuna calcutator, alam etc.
-wengine hata huduma za pesa hawatumii kabisa, mfano mambo ya simbanking (kuchek bank statement) etc

Hivi ni ushamba au ni nini?
Make kama ishu ni hela naweza kukukatalia sababu huduma za internet kwenye simu ni takriban bure kabisa.

Do you think hayo uonayo wewe ndo muhimu ni muhimu vile vile kwa wenzako?! come on ! Nakumbuka simulizi ya wakati ulee ndani ya Afrika Kusini!! Unajua nini? Siku moja Bill Clinton (USA ex-president) alipanda ndege ya kiraia ambayo inatumiwa na biz biznez men duniani! Ili kujionesha ni mtu wa kujichanganya; alikaa sehemu ambayo ma-biznez men wengine walikuwapo! Kutokana na hilo, wale wafanya biashara wakubwa wakawa wanapigana vikumbo kumpa greetings mzee Bill ! Hata hivyo, kulikuwa na mmoja ambae alikuwa bize na mambo yake na wala hakushituka uwepo wa Bill Clintoni mle ndani! Sio siri, Bill akamaindi kishenzi kuona jamaa hajipendekezi kwake! hata hivyo, akahisi huenda jamaa hajamuona na ndio maana kauchuna hivyo mzee Bill akaamua kujikooza! Ilikuwa hivi!!
CLINTON: Khoo! Khoo! Khoo!>>>> Bill hapa alikuwa anajikooza ili kumshtua jamaa aone kwamba American President yupo pale. Jamaa akainua shingo na kumwangalia anayempigia kelele kisha bila kusema lolote akaendelea na shughuli zake!!
CLINTON>> Hi ! ...... Hapa Bill akaamua kuvunja ukimya huku akiwa amekasirika kidogo dhidi ya kiburi cha huyu jamaa!
JAMAA: Hi ! Jamaa akaitikia na kuendelea na shughuli zake bila kushituka!
CLINTON: My name is Bill!>>> American President ikabidi ajitambulishe kwa jina moja huku akitarajia jamaa atasema, " I know u H.E. Bill Clinton!" Hata hivyo, jamaa hakuonekana kufahamu lolote na badala yake akajibu:
JAMAA: Ok Bill, my name is Fredrick; kisha akaendelea na shughuli zake
CLINTON: My name is Bill Clinton!! >>> Mr President akahisi labda hamfahamu lakini ameshawahi kusikia hilo jina na hivyo jamaa angeanza kujikomba!
JAMAA: Oh! Bill Clinton; u have good name! and my full name is Fredrick De Souza.>>> Baada ya kujibu hivyo jama akaendela kuwa bize na majarida yake ya ma-finacial times na economist! Kuona hivyo Mzee mzima Bill akamaind kishenzi na kuona yule jamaa ana dharau kwahiyo akaamua kujitambulisha in full.
CLINTON: Hey De Souza , am Bill Clinton; USA President!
De Souza: Oh! Is American Predident not Ronald Reagan?" Jamaa akauliza kwa mshangao!

So bandugu, ikiwa watu hawana muda hata wa kujua who's American President; so who care about bajeti zenu zisijo na tija?! Ya nini kujizeesha na mambo magumu na mazito mazito?! acha watu wale gud time bana!
 
-Wengine hawajui kuwa kwenye simu kuna saa ( mfano simu inaonyesha mwaka 2010)
-wengine hawajui kuwa kuna calcutator, alam etc.
-wengine hata huduma za pesa hawatumii kabisa, mfano mambo ya simbanking (kuchek bank statement) etc

Hivi ni ushamba au ni nini?
Make kama ishu ni hela naweza kukukatalia sababu huduma za internet kwenye simu ni takriban bure kabisa.

Sidhani kama wote ni ushamba, ila ni suala la uwezo. Kuna sehemu simu inatumika kumpa mtu social status, zaidi kuna wengine wananunua simu kwa ajlii ya personal satisfaction. Ndiyo maana unakuta kuna watu wana blackberry ambazo zinatumika kama simu tu.

Lakini naamini kuna kundi lingine la watu wanaonunua simu bila kujua exactly kwanini wamenunua simu hizo na wasinunue zingine, sijawahi kufika kwenye duka lolote la simu ambalo mteja anashauriwa kununua simu kutokana na matumizi yake zaidi ya kuangalia mfuko wake, naona huo ni upungufu. Mimi ni mmoja ya wanaoamini kwa watanzania wengi, simu za kawaida kabisa zinatosha kufanya matumizi yao ya msingi mengi tu kama wangekuwa wamepata mtu wa kuwaeleza ni mambo gani ya kuangalia kabla ya kununua simu ya mkononi.
 
Ukila net kwenye cm raha sana. Foleni benki, hospitali, daladala, tanesco kama hutumii Luku, bar...ongezeeni.
 
Asilimia kubwa ya vijana mjini wana magari ya hatari, lakini wamepanga vinyumba vya ajabu, wengine wamebebwa kwa washkaji!
Gari la ukweli ndio kila kitu, ukiwa na mkoko wa ukweli unaheshimika na kila mtu!

mmh una hakika?????
 
Asilimia kubwa ya vijana mjini wana magari ya hatari, lakini wamepanga vinyumba vya ajabu, wengine wamebebwa kwa washkaji!<br />
Gari la ukweli ndio kila kitu, ukiwa na mkoko wa ukweli unaheshimika na kila mtu!
Nina Mitsubish Pajero ndogo 1,
Hiace yakuniingizia alfu 40 daily 1,
Mazda Demio ya kubadilishia Pajero 1, zote nalaza msikitini,
lakini nimejibana kwenye kajiupande ka vyumba vi-3 sinza,
Maisha ndo haya, na yanasonga mbele,
Viwanja vyenyewe mjini vishaisha, nani akajenge huko madongo kuinama?
Biashara ya kuamka saa 10 za usiku kila siku kuwahi foleni siziwezi
 
Huwezi kuwa na liability bila ya kuwa na asset




Hapa sina la kusema!!
Ni kweli....lakini inategemea kipi kinazidi kingine.......lakini kwa uzoefu wangu, bongo watu wana liability nyingi kuliko assets......
 
Unajua hata hobby inachangia interest ninachangia. Kama mtu hawezi kuangalia kipindi cha Bunge kwenye TV yake iliyoko ndani. Au anakatisha taarifa ya habari redioni na kuplay Cd ya Music, basi ujue wakati wewe unasulf kwa simu yako. Yeye utamuona katupia spika za masikioni huku anaangalia miti inavyokimbia kurudi nyuma wakati wa safari!.
 
Mkuu usipende kujiumiza roho kwa vitu visivyokuhusu unajitesa bure.Fanya mambo yako mjomba we internet ndo unaona issue duh simu sio yako unaumia wewe pole sana lakini una moyo wa kiungwana
 
Back
Top Bottom