Watanzania Most Corrupt Ever: Lowasa, Rostam, Kikwete, Mr and Mrs Mkapa, Pinda...

Swala sio kufungulia makumpuni kuingia Tanzania au kuruhusu bidhaa nchini, Mwinyi anaonekana wazi alifanya hivyo kwa wao mafisadi kuweza kuiibia Taifa. Huwezi ukaruhusu yote haya kuingia Tanzania wakati huna institutions za kukabiliana na wizi utao kuja na haya yote. Kwanini Mwinyi haku fight kuunda sheria za kulinda makampuni kama ya Kitanzania yafanikiwe? Mfano, Kiongozi gani wa nchi au Mchumi gania ataruhusu kuingiza sukari au sigara kwenye Taifa lake akijua wazi warehouses huko Kilombero, Mtibwa, Kagera, Moshi na Dar zimejaa magunia ya sukari wanashindwa kuuza na wewe kama Kiongozi unaruhusu sukari iingizwe bila kuprotect interest za Watanzania. Hasara na Maafa ya Mwinyi is in terms of generation na billions of shillings to Tanzania kuhesabu. Wananchi wengi walikuwa wanafanya kazi kwenye local companies za Tanzania hata wakulima wa mchele na mahindi wote wameharibiwa maisha yao kwa sababu ya mtu mmoja, Mwinyi. Hawa wananchi hawawezi kushindana na bidhaa za kutoka nje na kubwa zaidi, why in hell "mfanya biashara anaingiza bidhaa na halipi kodi, huyu ni mfanya biashara au mzalendo? Hawa so call wafanya biashara wanaingiza bidhaa bure na kupanga bei za chini na mfanya biashara wa kawaida mikoani atashinda nae vipi? Kwanini Mwinyi hakupigania kujenga sheria na njia za kuzuia rushwa kabla ya "ruksa" Hawa so called Matajiri Tanzania ndipo walipo fumuka na kuanza Kuwaibia Watanzania including Mama Siti" Kitu kingine Mwinyi angekifanya ni kuhimarisha hawa wananchi kielimu, kibiashara na technologia endapo Tanzania itaelekea kufungua mipaka kwa watu nje, hiki ndicho kinaendelea na Jk East African Community - wanafungua milango kwa nchi zilizo mbali kiuchumi bila kuangalia wanachi wao wata compete vipi na kufanikiwa. Same all game, stand for mafisadi...

Hakuna Economic Theory ya "Ruksa Bila Safe Guard ya Taifa" Tanzania Tunahitaji Uimarishaji wa Sheria - Katiba na Viongozi wa Ukweli Sio Poor and Short Sited People

acha zungumza hisia

wewe utajiri wa mama sitti unaujua?unaweza uutaja?

eti kwa nini asiweke sheria,mbona obama anapitisha leo sheria wakati

matatizo yalianzia kwa clinton?????kwa clinton ni corrupt??????

acha hoja za kitoto

uchumi huria huenda huku una badilika na sheria zinabadilika kulingana na wakati....

hivi wewe unajua hasa impact ya makampuni ya simu kwenye uchumi wa tz?

unajua kwa miaka mingapi tbl wameongoza kulipa kodi tra??????

uliza uambiwe,usije bwabwaja pumba hapa.....
 
Nashukuru kwa muelimisha huyu mtu Mheshimiwa, maana naona ndio watu wenye mawazo finyu, wanadhani kufungua milango ya bidhaa toka nje kila bidhaa mpaka nguo za ndani za mitumba ndio amendeleao,kweli tembea uone Tanzania tunasafari ndefu.-
 
jibu pointi nilizoandika juu
wapinimesema maendeleo ni kuruhusu bidhaa za nje?
akili yako unafikiri nikisema vibali vya biashara ni kuagiza bidhaa tu?
hujui hata kiwanda cha ndani ni lazima kipewe kibali?
 
Kuna wengi "walinda Corruption Tanzania" kuhakikisha Wizi kama wa Dowans unaendelea.

images

images

Mzee wa mipasho ndio anaenda kupokea.
 
wakati wa nyerere ilikuwa ya serikali

wakati wa mwinyi ikabadilishwa leo inamilikiwa na watanzani wengi tu....

Swala CRDB ilianzishwa lini?, mbona unakuwa kigeugeu kwani baada ya kuanzishwa private sector makampuni yalianzishwa upya?. So unataka kutumbia makamuni kama sigara na TBL nayo yalianzishwa wakati wa Mkapa kwani mwanzo yalikuwa ya serikali!!!. focus on your point na kubali umechemka utaonekana muungwana.
 
Swala CRDB ilianzishwa lini?, mbona unakuwa kigeugeu kwani baada ya kuanzishwa private sector makampuni yalianzishwa upya?. So unataka kutumbia makamuni kama sigara na TBL nayo yalianzishwa wakati wa Mkapa kwani mwanzo yalikuwa ya serikali!!!. focus on your point na kubali umechemka utaoonekana muungwana.

wewe una mawazo madogo mno...
labda napoteza mda hapa....

crdb ya nyerere sio hii ya sasa hivi.....
ya nyerere haikuwa mtaji wala ukubwa wa wateja hawa....hii imefikia hapa mwinyi ndie aliechangia

tbl ilikuwa imefilisika,soko la bia lilitawaliwa na tusker ya kenya....

kuanzia mwaka 1980 mpaka 1985 uchumi wa tanzania haukukuwa kabisa...

wastani ilikuwa asilimia 0.sifuri au zero...

njaaa mtindo mmoja,na bidhaa za kujikimu tu kama dawa za mswaki na sabuni hakuna...

leo wewe unakaa na computer yako unapata jeuri ya kumwita mwinyi fisadi???????

ulizaliwa lini?

hivi kwa nini mna fantasize ya nyerere zaidi kuliko ukweli?????????
 
wewe una mawazo madogo sana naona

mtu kumuibua mtu haimaanishi kuwa anakubaliana na yeye kila kitu

mbona nyerere ndie aliemsaidia mkapa kuwa rais. na bado nyerere anaonekana malaika????????

huyajui ya mwinyi mazuri?we ulizaliwa mwaka gani?

unajua nani alieondoa shida ya foleni za sukari na sigara hapa tz?
nani aliondoa kero ya vibali vya biashara?

nani aliruhusu makampuni ya simu na makampuni mengine makubwa kama tbl yaje tz?

nani aliruhusu watanzania waanzishe benki zao wenyewe kama crdb na acb????

yapo mengi uliza uambiwe

Ha ha ha ha bro nilikuwa nakuheshimu sana na hiyo Avatar yako ya Denzel Washington, kuwa unaweza kuwa una ubunifu na uelewa wowote kumbe takataka kabisa. Hivi kuna ubunifu gani wa private sector uliofanyika Tanzania. Hivi unajua kuwa hakukuwa juhudi yoyote iliyofanyika kuwainua watanzania kuweza kuapamabana katika soko huria badala yake Watanzania waliachwa wapambane na wajasiria mali toka nje ya nchi ambao tayari walikuwa na uzoefu wa kutosha. Nakumbuka kuna kiongozi wa serikari aliwahi sema kuwa. "Soko huria la Tanzania ni kama kuwapamabisha mbwa anayefugwa nyumbani (Watanzania) na yule wa Kimasai anayewinda kila siku (wageni) wawinde poli moja``, hivi unategemea mbwa wa kufugwa atawinda kitu?. Ndio kitu walichokifanya marais wako, kuanzia huyo unayemtetea Mwinyi.
Cha pili kama unauelewa mzuri na Dunia inavyokwenda Nyerere kwa ujumla alitawala wakati wa Vita Baridi, na yeye sera yake ilikuwa wazi hakubase sana kwenye uchumi unaendeshwa na sector binafsi, bali aliamini katika public ownership kwa makampuni na Biashara zote. Yeye aliamini hivyo na alisimama kwa hilo, na ndio hizo CRDB unazozijua wakati wa Nyerere ziliendeshwa kwa mfumo huo. Baada kuanguka kwa Urusi nadhani kama wewe ni member mwenye sifa wa jukwaa hili la siasa unafahamu athari zake sitapenda kurudia ila ujue kwamba tu ndio mwanzo wa, Structural Adjustment programmes ambazo alizifanya Mwinyi, kwa nchi yako kwa kukubali kila kitu kutokana na matakwa ya IMF na WB. Tatizo la ndugu yako Mwinyi unaemtetea alikubali kila kitu, na huo ndio udhaifu wake

Unaliza umri wangu, mimi nilikuwepo toka Enzi za mwalimu na nimeishi TZ awamu tatu, kasoro hii ya huyu Check Bob.
 
actually naona unaongea na kujipinga mwenyewe.......

sikusema mwinyi hakukosea,nimesema mwinyi kafanya mengi mazuri,na makosa yake

yeyote alie mfuatia angeweza kurekebisha....mfano obama sasa anarekebisha makosa ya bush na clinton pia...

nyerere alifanya mazuri na alikosea mengi tu...
mwinyi alifanya mazuri na alikosea mengine...
mkapa pia......

sasa mtu kusema mwinyi alikosea na alifanya ufisadi bila kufanya zuri hata moja

hapo ndo naona ama akili hazitoshi au mna matatizo mengine
 
acha zungumza hisia

wewe utajiri wa mama sitti unaujua?unaweza uutaja?

eti kwa nini asiweke sheria,mbona obama anapitisha leo sheria wakati

matatizo yalianzia kwa clinton?????kwa clinton ni corrupt??????

acha hoja za kitoto

uchumi huria huenda huku una badilika na sheria zinabadilika kulingana na wakati....

hivi wewe unajua hasa impact ya makampuni ya simu kwenye uchumi wa tz?

unajua kwa miaka mingapi tbl wameongoza kulipa kodi tra??????

uliza uambiwe,usije bwabwaja pumba hapa.....

Kampuni ya simu ndio mafanikio ya free market pekee ya ccm? Achani kuwa washabiki, fanya research kabla huja andika opinions. Hata kama hujasomea uchumi, jitahidi sana ufahamu "prospective ya global economy" Walioiweka Tanzania kwenye status ya nchi maskini duniani, read the facts please...nyie ndio mnawapotisha mababu zetu vijijini.
Population below poverty line(%) 2011 country ranks, By Rank
Tanzania Economy, Tanzanian Economic Profile | Economy Watch
 
wewe una mawazo madogo mno...
labda napoteza mda hapa....

crdb ya nyerere sio hii ya sasa hivi.....
ya nyerere haikuwa mtaji wala ukubwa wa wateja hawa....hii imefikia hapa mwinyi ndie aliechangia

tbl ilikuwa imefilisika,soko la bia lilitawaliwa na tusker ya kenya....

kuanzia mwaka 1980 mpaka 1985 uchumi wa tanzania haukukuwa kabisa...

wastani ilikuwa asilimia 0.sifuri au zero...

njaaa mtindo mmoja,na bidhaa za kujikimu tu kama dawa za mswaki na sabuni hakuna...

leo wewe unakaa na computer yako unapata jeuri ya kumwita mwinyi fisadi???????

ulizaliwa lini?

hivi kwa nini mna fantasize ya nyerere zaidi kuliko ukweli?????????

Acha kudanya watu na uwadanganye haohao wasiojua hao makaburu na wageni wengine walionunua makampuni Tanzania walinunua yale ambayo mpaka yalikuwa yakinunuliwa yalikuwa yakimake profit. Kampuni kama Sigara na TBL zilikuwa zikimake profit mpaka zinanunuliwa. Makampuni yasikuwa na faida yote yamefanywa maghala. Kama uko Tz nenda Tanganyika parkers ndio utaona niachoandika hapa. Ni huo ndio ujinga wetu watanzania mnaishi kwa propaganda. Nani asiyejua kama kampuni kama Celtel then Zain, walikuja bila hela na wakazipata hapohapo Tanzania.

The clean former presidents was Mwalimu only ambaye hata nyumba ya hadhi kule Butiama kajengewa na ajeshi baada ya kustaafu na wala hakupenda kuandaa watoto kuwa watawala. Mwinyi hana mpango wowote. Nchi sasa ipo kwenye criss ya ufisadi wala hatoi neno lolote. Amekaa kimya as if nothing going on. Najua ndio kati ya watu ambao kauli zao zingeheshimika na kutoa muongozo na ushauri kwa baadhi ya matatizo ya Taifa kwa sasa.Kwa kuwa anabolt la ufisadi kama Mkapa tu ambaye his image has smeared by scandles of corruption, yuko kimya kabisa
 
Kampuni ya simu ndio mafanikio ya free market pekee ya ccm? Achani kuwa washabiki, fanya research kabla huja andika opinions. Hata kama hujasomea uchumi, jitahidi sana ufahamu "prospective ya global economy" Walioiweka Tanzania kwenye status ya nchi maskini duniani, read the facts please...nyie ndio mnawapotisha mababu zetu vijijini.
Population below poverty line(%) 2011 country ranks, By Rank
Tanzania Economy, Tanzanian Economic Profile | Economy Watch

sasa katazame wakati mwalimu nyere anaacha nchi kwa mwinyi mwaka 1985 tulikuwa wapi

halafu tazama 1995 mwinyi katuacha wapi.....

acheni kumpa nyerere sifa za kupitiliza...
 
how do you confirm ur president is corrupt?
Maybe he is just incompetent...
He was an architect of the IPPTL when he was the Minister for Energy and Minerals. That is probably when he first tasted corruption. Nyerere once told this nation that "no President who comes out from corruption can be able fo fight corruption" This explains why he was, in the first place put in to power through monies acquired through what was known as the "EPA" scandal, a scandal that involved CCM and government leadership swindling funds from the Bank of Tanzania and to which to date nothing serious was done to culprits as they are strongly protected by Kikwete himself. It is therefore utterly unfair to exonerate Kikwete from corruption going on in this country. he therefore joins the lane of Lowasa, Chenge, RA, Mwinyi, Mkapa and Mrs, Karamagi, Mramba, Daniel Yona and the likes.
Unlike his predecessor Mkapa, Kikwete did not declare in public what riches he had when he entered the Tanzania's highest office, however the fact that in ten years Mkapa committed a lot of corruption made him not to declare what he accrued in his term of Presidency.
Time will tell why Kikwete did not declare in public what riches he had when he entered that coveted office and what he has amassed in his tenure of office of the President.
 
Acha kudanya watu na uwadanganye haohao wasiojua hao makaburu na wageni wengine walionunua makampuni Tanzania walinunua yale ambayo mpaka yalikuwa yakinunuliwa yalikuwa yakimake profit. Kampuni kama Sigara na TBL zilikuwa zikimake profit mpaka zinanunuliwa. Makampuni yasikuwa na faida yote yamefanywa maghala. Kama uko Tz nenda Tanganyika parkers ndio utaona niachoandika hapa. Ni huo ndio ujinga wetu watanzania mnaishi kwa propaganda. Nani asiyejua kama kampuni kama Celtel then Zain, walikuja bila hela na wakazipata hapohapo Tanzania.

The clean former presidents was Mwalimu only ambaye hata nyumba ya hadhi kule Butiama kajengewa na ajeshi baada ya kustaafu na wala hakupenda kuandaa watoto kuwa watawala. Mwinyi hana mpango wowote. Nchi sasa ipo kwenye criss ya ufisadi wala hatoi neno lolote. Amekaa kimya as if nothing going on. Najua ndio kati ya watu ambao kauli zao zingeheshimika na kutoa muongozo na ushauri kwa baadhi ya matatizo ya Taifa kwa sasa.Kwa kuwa anabolt la ufisadi kama Mkapa tu ambaye his image has smeared by scandles of corruption, yuko kimya kabisa

unaongea hujibu hoja unajichanganya..

kama yeye mwinyi awe tegemeo la kutoa kauli..

halafu awe fisadi?

unajichanganya kumbe?kwa hiyo kosa lamwinyi ni kukaa kimya?
 
Ni Ufisadi! ndio unamfanya afumbe domo kwani nae alihusika vya kutosha!
 
As long as these guys hold powerful political positions in Tanzania, the whole of Tanzania is a corrupt society. You judge people by their leaders!
 
images

images

images

images

car_anna_mkapa.jpg

images

Pinda Sasa Tunamwingiza kwa kukumbatia Dowans

No Questions Taifa la Tanzania lina angamizwa na hawa mubarak wetu hapo juu. Juhudi kubwa wanazo zifanya kulindana kuliharibu Taifa la Tanzania na kuhakikisha "Watanzania Wanawaogopa" Taarifa tunataka wanaccm muwafikishie ni hivi

Watanzania Tupo Hatua kumi Kufikia Tahrir Square na Tukifika Haturudi Nyuma
Tena huyu Pinda yupo kama popo anatuchanganya sana mara mtoto wa mkulima mara mtoto wa fisadi.Anavyo lemba maneno utasema pana mtu kumbe balaa tupu Mungu atuokoe na kina pinda kweli pindisha
 
Umemsahau mzee Ali Hassani Mwinyi, huyu mzee ana hela ya kutisha, ndio alimuibua Mkwele wakati he was just CCM district secretary kule kusini mwa Tanzania kwa kuumpa ubunge na unaibu waziri enzi zake. Na ndio nguzo kubwa ya Mkwere katika utawala wake. Huwezi kusikia hata siku moja mzee huyu akikemea Ufisadi na kwa Hierarchy alipaswa ndio awe tegemeo la Watanzania baada ya kuondoka Mwalimu (R.I.P). Inasemekana anahisa za kutosha Sea Cliff Hotel na mke wake alifanya ufisadi kama alivyotufanyia mke wa Mkapa.

Naungana na wewe,Huyu Mzee amepata fedha nyingi sana toka enzi za utawala wake kutoka katika mataifa ya Kiislam kuhakikisha Tanzania inageuzwa kuwa nchi ya KIislam.wakiwamo wafuatao.

  1. Kikwete( Ikulu ndiyo iliyodhamini mkutano wa wazee wa kiislam Diamond Jubelee)
  2. Idd Simba
  3. Kapuya
  4. Othmani wa usalama
  5. Mkulo Mstapha.
Watu hawa ndio wanaoeneza swala la udini kwa kuwa pesa wamesha kula sana na wanaendelea kula.
 
Back
Top Bottom