Watanzania mngependa badget ijayo iendelee kumkamu mtanzania ?.toa maoni yako

tusichoke

JF-Expert Member
Apr 2, 2011
1,316
216
Wana JF zikiwa zimebaki siku chache kabla ya badget kusomwa bungeni nimeona ni vema tushiriki kutoa maoni yetu kwa serikali juu ya hali ya maisha ilivyo hata kabla ya badget ya kodi kuanza kujadiliwa.Kwa mfano bei ya mafuta,nauli,sukari,nafaka na vinginevyo zipo juu.Wenzetu kenya inasemekana serikali yao iliondoa au kupunguza ushuru katika mafuta.Je kwa hali ya maisha ilivyo hivi sasa itakuwa busara kwa serikali yetu kuongeza kodi kwenye bidhaa ? Binafsi naona kodi isiongezwe bali wafute misamaha kwenye makampuni ya madini kwani haitunufaishi sanasana ni migogoro tu na wananchi
 
Back
Top Bottom