Watanzania mnamshauri nini Rais wetu?

Sera mbovu za chama chake. Yeye anawezakuwa msafi ila amerithi chama ambacho sera zake hazitekelezeki sasa hayo ndio mavuno

Mkulu,
Mi naungana na wewe kwenye hilo,huwezi kuwa kwenye kundi la MALAYA alafu wewe usiwe mmoja wapo.

Usafi wa JK una walakini.
 
Nashauri kuwe na utaratibu wa 'daftari la mahudhurio' pale ikulu ambalo sisi waajiri wa Rais tunaweza kulikagua bila usumbufu wala bughudha ili tujue kwa mwezi mwajiriwa wetu kafanya kazi siku ngapi ofisini.


Its true sisi ni waajiri wa Raisi,but in Tanzania its more theoritical.We have power to put him there but lacks one to remove him!.
 
Back
Top Bottom