Watanzania Mjomba Wenu Ni Nani?

Keynez

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
2,397
3,884
Kuna wanaodhani Tanzania iachane na EAC, mahusiano na nchi tajiri na hata China na India (kila mtu akiwa na mtazamo tofauti-tofauti kwa kila uhusiano), kuna wanaodhani bila uhusiano huo hatuwezi kuendelea kamwe, mtazamo wako ni nini na ni nani tumkaribishe kama 'strategic partner'? Je hata kama baadhi ya nchi hizo zina 'burden of history' na sisi tusahau na kusonga mbele tukishirikiana nao? Mtazamo wangu wa kina utakuja baadaye.

R.I.P Simba wa Vita, Rashid Kawawa.
 
Dah, niliuliza hili swali miaka 11 iliyopita. Kwa wale wasiojua, swali hilo linatokana na either swali kama hilo au kauli aliyowahi kuitoa Mwalimu Nyerere.

Nyerere alikuwa mtu mwenye maono ya mbali sana. Alisema hivyo pamoja na kwamba uzito wa hiyo mada haukuonekana wakati ule. Nyakati kama hizi ndiyo za kujiuliza sisi Watanzania, mjomba wetu ni nani?
 
Back
Top Bottom