Kwa wazee kama mimi watakumbuka msaada wa unga wa maziwa ya unga kwa mashule (kama sikosei mid 60s) kulikuwa kuna bendera hiyo na mkono mweusi na mweupe inasabahiana. Si jambo geni hilo.
If you can't fight them, join them!!
<br />Kwa wazee kama mimi watakumbuka msaada wa unga wa maziwa ya unga kwa mashule (kama sikosei mid 60s) kulikuwa kuna bendera hiyo na mkono mweusi na mweupe inasabahiana. Si jambo geni hilo.
uji wa bulgar toka US??? ha ha haaaa niliunywa sana nilipokuwa chekechea
Kwa wazee kama mimi watakumbuka msaada wa unga wa maziwa ya unga kwa mashule (kama sikosei mid 60s) kulikuwa kuna bendera hiyo na mkono mweusi na mweupe inasabahiana. Si jambo geni hilo.
USA forever!

Uzee uutoe wapi ff? We sema umehadithiwa au umeona kwenye picha. But am not concuring with u. Thats very true!