Kama tulivyofanya siku za hivi karibuni kuwazomea mawaziri uchwara ambao wanakuja ktk vijiji na miji yetu eti kutueleza mafanikio ya serikali ya awamu ya nne.
Nawaomba wananchi na watanzania wotw kwa ujumla kuwa tayari na kuwazomea mawaziri hawa kwa sababu haiwezekani nchi inakopa pesa ktk mabenki binafsi ili iweze kujiendesha ktk bajeti ijayo wakati huo huo mawaziri wanatumia mabilioni eti wanaelezea mafanikio ya kazi ya serikali yo.
Kama mafanikio si wananchi wanaona?? Ya nini mtumie pesa nyingi kiasi hicho kwenda kueleza mlivyofuja pesa za walipa kodi na ujinga wenu huo?