Watanzania jiungeni zaidi kibiashara na nchi za Kiarabu

Mandago

JF-Expert Member
Feb 8, 2008
238
99
Ndugu watanzania nawashauri mzidi kuungana kibieshara na nchi za kiaarabu.

Waarabu wanapenda waafrika na wanawaona waafrika ni kama ndugu zao wa karibu sana.
dalili kubwa ya haya nayoandika ni kuona baina ya waarabu na waafrika kwa idadi kubwa sana huko Tanzania, Kenya, Uganda, Burundi, Sudan, Zaire na Comoros...... kuliko makabila mengine ya kigeni yote.

Mimi nawajua waarabu na mapenzi yao makubwa sana kwa ndugu zao waafrika.

Team yeyote ya mpira ya Kiafrika ikiwa inacheza na timu hata kama ya Asia kama vile Japan au Korea au inchi yeyote ile wote waarabu wanaishangilia timu ya kiafrika tu na ikishinda wanajiona kama wao ndio walioshinda.

Na pale Ghana ilipo tolewa na Urugwai katika world cup ya huko South Africa kwa dhuluma ilikuwa kama vile kuna kilio kikubwa huko Muscat na Dubai.
 
Ndugu watanzania nawashauri mzidi kuungana kibieshara na nchi za kiaarabu.

Waarabu wanapenda waafrika na wanawaona waafrika ni kama ndugu zao wa karibu sana.
dalili kubwa ya haya nayoandika ni kuona baina ya waarabu na waafrika kwa idadi kubwa sana huko Tanzania, Kenya, Uganda, Burundi, Sudan, Zaire na Comoros...... kuliko makabila mengine ya kigeni yote.

Mimi nawajua waarabu na mapenzi yao makubwa sana kwa ndugu zao waafrika, mimi naishi nao hapa Oman na mimi mwenyewe ni Mwarabu niliyozaliwa Tanzania.

Team yeyote ya mpira ya Kiafrika ikiwa inacheza na timu hata kama ya Asia kama vile Japan au Korea au inchi yeyote ile wote waarabu wanaishangilia timu ya kiafrika tu na ikishinda wanajiona kama wao ndio walioshinda.

Na pale Ghana ilipo tolewa na Urugwai katika world cup ya huko South Africa kwa dhuluma ilikuwa kama vile kuna kilio kubwa hapa Muscat na Dubai.

Eti warabi wanaona waafrika kama ndugu?

LOOOOOL

Hata afathari wazungu sasa. Ubaguzi niliouona kule Milki za uarabu ni za kustajabisha
 
Watanzania msidanganyike, hakuna kupendwa wala nini ni swala la kushindwa kwenye ushindani, hivyo kujipendekeza kwa watu au raia wa nchi fulani. Upendo huanzia nyumbani, kama manyang'au wameshindwa kuchukua ardhi yao ya urithi na kuanza kukimbilia Tanzania unafikiri huo ni upendo? Au waarabu kukosa support kwenye maswala ya kimataifa etc. Sio hawa waarabu waliochukua na kuendekeza biashara ya utumwa? Je, hadi leo wameomba radhi? Sio hawa waarabu ambao hawataki kuitwa Waafrika? (Libya, Algeria, Misri etc) Sio hawa waarabu ambao wanawaua waafrika kule South Sudan?

Mkuu wapo waarabu wastaarabu kama huko uliko I presume lakini wengi wao hawawapendi waafrika, wanapenda kuwatumia waafrika kwa ajenda zao kama Gadafi anavyofanya kwenye AU, usisahau jinsi alivyomuhonga JK magari.
 
Kwanza hili si swala la kushindwa au kushinda!!! Mwenyezi Mungu amewapa Warabu utajiri wa kutosha kabisa, mimi niliona tu ni bora kuwajulisha ndugu zetu waafrika vipi waarabu wanavyo wapenda waafrika wala si kujipendekeza kama unavyo fikiria wewe, kama hauamini kuwa waarabu ni very close to African people shauri ni lako, lakini ukweli haubadiliki.

Kuhusu biashara ya Utumwa ulifanywa na makabila karibia yote duniani hata waafrika wenyewe walishiriki katika biashara hiyo ya utumwa ambayo ilikuwa si haki kabisa na unyama ulio wazi kutoka kwa wazungu na waafrika wenyewe..........

Hakuna mwarabu wa afrika hataki kuitwa mwafrika dalili ya kwanza Inchi zote hizo ulizo zitaja ni wanachama wa africa.

Na kuhusu Sudan Wasudani si waarabu wasudani ni waafrika wanaoongea tu lugha ya kiarabu, wasudani ni watu weusi, maana ya neno Sudan kwa kiarabu ni Watu weusi.

Kwa mfano mwingine kuna waarabu hapa TZ kwa asili lakini wanaongea kiswahili.

Mungu katuumba kwa makabila mbali mbali ili tujuane tu (si kwa ajili ya ubaguzi).

Amini au usiamini waafrika ni watu walio karibu sana katika mioyo ya waarabu (Waafrika ni wapenzi wakubwa sana kwa waarabu).
 
Kwanza hili si swala la kushindwa au kushinda!!! sisi Warabu tunamshukuru Mungu katupa utajiri wa kutosha, mimi niliona tu ni bora kuwajulisha ndugu zetu waafrika vipi sisi waarabu tunavyo wapenda waafrika wala si kujipendekeza kama unavyo fikiria wewe, kama hauamini kuwa waarabu ni very close to African people shauri ni lako, lakini ukweli haubadiliki.

Kuhusu biashara ya Utumwa olifanywa na makabila karibia yote hata waafrika wenyewe walishiriki katika biashara hiyo ya utumwa ambayo ilikuwa si haki kabisa na unyama ulio wazi.

Hakuna mwarabu wa afrika hataki kuitwa mwafrika dalili ya kwanza Inchi zote hizo ulizo zitaja ni wanachama wa africa.

Na kuhusu Sudan Wasudani sio waarabu wasudani ni waafrika wanaoongea lugha tu lugha ya kiarabu, wasudani ni watu weusi, maana ya neno Sudan kwa kiarabu ni Watu weusi

Amini au usiamini waafrika ni watu walio karibu sana katika mioyo ya waarabu (Waafrika ni wapenzi wakubwa sana kwa waarabu).

MODS.. JF imevamiwa nA mabasha. We jamaa ni mpumbafu kabisa umeanza vizuri sasa badae unaharibu,kwa nini udai waarabu wanawapenda waafrica na sio waafrica wanawapenda waarabu? Unavyosema hivyo unasababisha tukuelewe kivingine na waarabu ndio ni vizuri kufanya nao biashara lakini ni washenzi wa tabia kabisa hawa ukianzia na wapalestina,wairaq, na wengine kwanza usifanye ss tukakumbuka enzi za utumwa tutakuban humu jf. Kila mtu hapa anauwezo wa kukuban kaa hujui so wewe eleza na wape watu michongo na details ya biashara yajo hio inshalah watu wanaoipenda watajitokeza
 
Asante kwa kuniita mpumbafu, uwamuzi ni wako,

Mimi navyo jua waafrica pia wanawapenda sana waarabu.

niban basi kama wewe ni MODS.
 
Cool down Mandago,

Tafadhali,unaweza kutupa orodha ya biashara ambazo tunaweza kufanya pamoja? ( za oil/mafuta/gas hizi hapana). Nipe biashara ambazo mbongo wa kawaida anaweza kufanya kwa kushirikiana na nyie bila mizengwe.
 
Ndugu watanzania nawashauri mzidi kuungana kibieshara na nchi za kiaarabu.

Waarabu wanapenda waafrika na wanawaona waafrika ni kama ndugu zao wa karibu sana.
dalili kubwa ya haya nayoandika ni kuona baina ya waarabu na waafrika kwa idadi kubwa sana huko Tanzania, Kenya, Uganda, Burundi, Sudan, Zaire na Comoros...... kuliko makabila mengine ya kigeni yote.

Mimi nawajua waarabu na mapenzi yao makubwa sana kwa ndugu zao waafrika, mimi naishi nao hapa Oman na mimi mwenyewe ni Mwarabu niliyozaliwa Tanzania.

Team yeyote ya mpira ya Kiafrika ikiwa inacheza na timu hata kama ya Asia kama vile Japan au Korea au inchi yeyote ile wote waarabu wanaishangilia timu ya kiafrika tu na ikishinda wanajiona kama wao ndio walioshinda.

Na pale Ghana ilipo tolewa na Urugwai katika world cup ya huko South Africa kwa dhuluma ilikuwa kama vile kuna kilio kubwa hapa Muscat na Dubai.

Mandango hiyo ni steriotyping ambayo watu wanakuwa nayo, zama za zamani zimepita sasa tunaganga yaliyopo na yajayo. Mbona hata wabongo kwa wabongo wanafanyiana Umafia? Mbona kuna wakati fulani ndugu yangu alimu-employ mwarabu pure aliyekuwa kapigika na wakafanya kazi kwa pamoja?
Nachosema sasa hivi ni two way traffic .......kama umefikia level where "Money works for you" hakuna cha mwarabu wala mwafrika.

Mandango lete business ideas zako hapa tujadili tujue ni jinsi gani tunaweza kukukwamua nawewe upige hatua, swala la wewe una rangi sijui ya njano, nyekundu au kijani halina msingi wowote zama hizi ...hiyo ni thinking iliyopo ndani ya kichwa chako wewe na familia yako.

SISI TWASONGA MBELE, UKITAKA TUFUATE USIPOTAKA BAKI NA RANGI YAKO YA KIJANI!
 
Mandago rudi tuendelee kukata issue, ukianzisha uzi hapa jamvini ni budi uwepo kujibu hoja ya kile ulichokianzisha.
 
Mkuu Mandago kila mtu ana mtazamo wake kwa hiyo unapotoa jambo hapa kila mtu anatoa kile kilichoko moyoni kwa hiyo wala usipate tabu,ndo maana kukawa na uhuru wa maoni hapa kama umeona kuna opportunity ya kumfaidisha mtanzania wa kawaida we weka hapa aliye tayari atafanya follow up atakayeona haimfai atafanya jambo lingine.
 
Mandogo,
Japo ushauri na maneno yako ni mazuri lakini yamekaa kidiplomasi zaidi ya biashara. Bado hauja eleza opportunities zipi zipo za kufanya biashara baina ya Waafrika na Waarabu. Bado hauja elezea business culture ya Waarabu. Bado huja elezea business opportunities zilizopo Uarabuni. Na bado hauja tolea mfano wowote wa venture ya Kiafrika na Kiarabu ambayo ni mfano wa kuigwa kama ipo.

Mkuu business is strictly business and nothing personal. Huwezi uniambie nifanye biashara na Muarabu kwa sababu tu anapenda Waafrika. Angalia huko Uarabuni investments kubwa zina toka West, nchi ambazo Waarabu wenyewe wanadai kuzi chukia. Kwa hiyo mkuu mimi I kama mfanyabiashara sijali nani ana nipenda. Siku hizi biashara ni mkataba tu. Tuna weza kuwa partners au associates bila hata kuonana kwa sura.

Kwa hiyo mkuu tuongee kama wafanyabiashara humu. Njoo na mifano ya miradi ambayo tuna weza kufanya sisi kama wafanya biashara na si "ndugu". Kumbuka kwamba biashara yoyote ukifanya na ndugu chances za kushindwa ni kubwa so punguza "undugu". Kwenye biashara pesa na mipango ndiyo inaongea. Hatu tafute wake humu ndani.
 
Huyu haina hata haja ya kumjibu seriously. He is a joker, he is simply an Persian and Arabic ass-kisser.
 
Mandago, tunakushukuru kwa wito wako mwema. Nia na lengo lako ni kuzileta karibu jamii hizi mbili za Kiarabu na Kiafrika ili kustawisha na kuimarisha maslahi yao ya pamoja kwa faida ya watu wa pande zote mbili. Nadhani hakuna mataifa duniani yaliokaribiana na kuwa na historia ya muda mrefu kama ya waafrika na warabu.

Inasikitisha kuna baadhi ya wenzetu hapa hawana maoni marefu. Maoni yao yanaishia pale kope zao zilipoishia. Hakuna walichonacho ila wingi wa chuki na ubaguzi. Na pia wanafikiria kuwa Tanzania ni nchi ya watu weusi pekee na mtu asipokua mweusi hata kama vizazi na vizazi wa babu zao wameishi hapa basi ni mgeni. Wamesahau historia kuwa hata Wabantu pia walihamia hapa kutoka sehemu nyingine za Afrika.

Kwa udhaifu wa elimu hawajui kuwa hata neno 'Afrika' asili yake halikutolewa na mtu mweusi na kama isingekuwa Waarabu kuja huku hata wasingekuwa wanajadiliana kwa lugha kama hii ya Kiswahili.

Mandago usivunjike moyo na endelea na wito wako achana nao hawa baradhuli wachache wasiowakilisha watanzania wengi wapendao amani na ustawi wa mawasiliano mema na mataifa mengine.

Pia inafaa kuwajulisha kuwa ni Waarabu ndio wana investi nchi za magharibi. Na nchi za magharibi na warabu wote wanafaidika. Waarabu wana investment za karibu $ trillion moja huko nchi magharibi. fikiria kama waarabu wata investi 10% ya hizo tu katika Afrika yaani $ 100 billion !! Angalia vile nchi itajengeka, watu kupata kazi na kuimarisha mapato yao. Lakini wengi wao walio kujibu hapa fikira zao ni nini wao binafsi watafaidika nacho ? sio nchi ila wao binafsi.

Kwa upande wa biashara kuna mambo mengi yanaweza kufanyika, mfano :

1) Banking
2) Energy
3) Mining
4) Tourism
5) Agriculture
6) Health
7) Education
8) Infrastructure & transportation
9) Housing

Idadi haina mwisho.
 
Unajua mzee ulianza vizuri lakini ukajaharibu hapo kwenye nyekundu, inaonesha we ni mtu wa namna gani licha ya ku-pretend kwamba wewe ni msomi na mkarimu.
Nani asiyejua kwamba hao wenzetu ni washenzi wa tabia? nani asiyejua ya kwamba hao jamaa ni selfish? ....unajua kuna mambo mengi sana ambayo tukiyazungumzia hapa mtu anaweza kuonekana ni racist but ukweli utabakia pale pale na ndo nadhani ni sababu kubwa ya jamaa yako kuanza kuingiza element za uarabu na uafrika. Si angeanza straight kuelezea hizo opportunities zitakazo lifaidisha taifa?

Lakini kwavile anapenda recognition za kijinga based on skin colour anaanza kwa mbwembwe oooh "si waarab tunawapenda waafrika ", we mandango na percival mnawapenda kwa lipi?
 
Hawa waarabu wangekuwa wazuri kwa Waafrika wangeshiriki kutatu migogoro kama ya Rwanda, Burundi, Sudan, etc lakini wamekuwa kimya kama hawapo! Linapokuja suala la mgogoro wa Mashariki ya Kati ndio wanatukumbuka ili tuwape support! Kwa ujumla sijawahi kufeel upendo wa Waarabu kwa Waafrika zaidi ya unafiki na ugaidi (kumbuka milipuko ya balozi za Marekani 1998 Kenya na Tanzania)!
 
Si haki kuwahukumu watu wote kwa Kitendo cha mtu mmoja au wawili au hata zaidi...

Kwa mfano, msukuma mmoja akija kuiba kwangu au kwako, hakimu hana haki ya kuwahukumu wasukuma wote duniani watiwe jela kwa sababu ya msukuma mmoja tu. Hakimu anahaki ya kumtia ndani huyo mmoja tu.
 
Back
Top Bottom