The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 15,388
- 12,971
Aaah, mbona na wewe jina lako halina uhakika? weka jina full plus picha. Halafu mwenzetu ni mtu wa wapi? Mkenya weye? Mbona wasema watanzania hawana adabu ili hali na wewe ni Mtz? Ina maana na wewe ni kama hao unaowasema? Nayaunga mkono mawazo yako, but it seems hujatulia.
Achana naye ni walewale tu!!!!!!!!!!!!