watanzania hatari kuuwawa

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
watanzania watatu wanaoshikiliwa hapa africa kusini wanatafutwa kwa udi na uvumba na serikali ya
rwanda ili kuwauwa kupoteza ushahidi,
watanzania hao walitumwa na mfanyabiashara maarufu hapa johannesburg kumwua generali wa kirwanda
aliyekimbia rwanda na kupewa hifadhi hapa,
tunafatilia kwa makini
 
Jino kwa jino.
Kama kweli wao walimtafuta generali acha nao watafutwe.
 
Wana kwenda kuleta uzombe kwenye nchi za watu kisa tamaa ya pesa..!!! Toeni taarifa walipo ili wachinjwe ..!!!
 
taratibu jamani kesi ndo tumesikia imeanza leo,hii tabia ya kuchukua sheria mkononi tuachane nayo
 
Kama wamefanya kitendo hicho hata kama kesi imeanza usiku huu ni vema tu wakajisalimisha na waka chinjwa. Tabia mbaya za jinsi hiyo hazina kusubiri muda mrefu..!!
 
Taarifa hii haijakaa sawa, unasema walitumwa na mfanyabiasha? Serikali ya rwanda kwanini unasema inataka kufuta ushaidi? Mfanya biashara huyo anauhusiano gani na serikali ya rwanda? Serikali ya south africa imechukua jukumu ga kuulinda ushaidi huo? Na je serikali ya International Super star Mkweree inakauli yoyote?
Nadhani haya ndo mamba ya msingi ya kufatilia!
 
tunafatilia leo kesi imetangazwa kwa sababu ushahidi ulishakamilka,tutawaletea taarifa rasmi
 
Wacha sheria ichukue mkondo wake, hakuna aliye na halali ya kuuwa. Hiv ni ile ya general nyamwasa aliyekoswa koswa na risasi?
 
Taarifa hii haijakaa sawa, unasema walitumwa na mfanyabiasha? Serikali ya rwanda kwanini unasema inataka kufuta ushaidi? Mfanya biashara huyo anauhusiano gani na serikali ya rwanda? Serikali ya south africa imechukua jukumu ga kuulinda ushaidi huo? Na je serikali ya International Super star Mkweree inakauli yoyote?
Nadhani haya ndo mamba ya msingi ya kufatilia!

huyo jamaa ni mwanajeshi kutoka rwanda alimkimbia kagame akapewa ukimbizi hapa sa,
huyo mfanyabiashara ni rafiki wa karibu wa kagame,walitaka kumwua kwa sababu jamaa ni tishio serikali ya rwanda
ndio wakakodi watanzania washika bunduki maarufu hapa johannesburg
walimkosakosa jamaa kapelekwa hospitali wakamfata tena hospitali nako wakamkosa
 
Sasa huo ushahidi wanaotaka kuuficha si wautoe ili kuwe hakuna sababu tena ya kutaka kuwanyamazisha....?
 
walikosea kuchukua watanzania hawajui kulenga,wangechukua wasauzi au wamozambique tungekuwa tunaongea mengine saa hizi
 
Back
Top Bottom