Watanzania hata kumpongeza shem letu la "bba" jamani

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,722
21,775
SHEMU SHEMU SHEMU,SHEMU HILOO SHEMU SHEMU HILO SHEMU SHEMU HILOO SHEMU,HAMU HAMU HAMU,HAMU HIYO HAMU HAMU HIYO HAMU HAMU HIYO HAMU,DOLA DOLA,DOLA HIZO,DOLA DOLA HIZO DOLA DOLA HIZO DOLA,,,JAMANI SHEMU...SHEMU JAMANI DOLALI ....HAYA SHEMU WETU KUNA

1)KILIMANJARO

2)NGORONGORO CRATER

3)MIKUMI NP

4)SERENGETI NP

5)JOLLY CLUB,

6)AFRIKA SANA SINZA SEHEMU YA WAPENDANAO

HIVI VYOTE NI VIVUTIO VYA NCHI YETU BAAADA YA ELIZA...UNAWEZA AMUA UTATUMIAJE PESA ZAKO MAHALI HAPA....ILA SINZA NENDA PEKE YAKO....KILA LA KHERI

Hongera sana bi elizabeth ,kwanza kwaushiriki mzuri kwenye jumba la BBA.ACHA HIYO NINAKUPONGEZA ZAIDI KWA KUONYESHA WATANZANIA NI VICHWA HATA TUKIONA HATUPATI USHINDI TUNAJUA KULENGA MAHUSIANO...
ELIZABETH ULIONA MBALI SANA KUPENDWA/KUPENDA/KUPENDANA NA KELVIN..NAWAOMBEA MUNGU HERI NA FANAKA MUITUMIE PESA YA BBA KWA AMANI NA SALAMA ISIJE IKAWA VITUKO KAMA NDUGU YETU YALIOMTOKEA...KELVIN HONGERA SAANA,KUMBUKA MAFANIKIO YAKO ELIZABETH YUKO NYUMA YAKO...
 
Hahahaha dada wa kichaga huyo aliona mbali...:)
 
huyu mtoto ni kuwa nae benet sasa hivi wachaga wanaponiacha hoi ni hapo hata ukienda kwenye mijumba magorofa masaki unakuta wanawake wa kichaga wamejaa kamanyuki

aika mae
 
Mbona sielewi lengo la hii thread jama.
Kelvin kamuoa Lizzy au ndio ushemeji ule wa kusakiziana.
Kama ndivyo pouwa tu akale zake raha uko mbele kwa mbele
Jealousy ya kazi gani bwana, mimi napiga zangu debe mkono unaenda kinywani. Freshiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Hilo ndio debe lka jamaa kuoaa alitupaisha sana na bendera(jersey) ya taifa.......sasa watafutane tujue mojaa
 
Back
Top Bottom