Watanzania hapa sijawaelewa Chadema wana maana gani?

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,766
894
Kauli mbiu ya kwanza ya chama
Kauli mbiu ya kwanza zilizopitishwa na chama zilionyesha nia ya msingi ya kutumikia wananchi. Nazo ni:

1.CHADEMA …………………....................VEMA!
2.MWANANCHI………………..................NAMBARI WANI!
3.CHADEMA …………………...................NAMBA TWO!
4.VIJANA………………………..................TAIFA LA LEO!
5.KINAMAMA…………………..................WALEZI!
6.WAZEE………………………...................DHAMANA!


Watanzania hapa sijawaelewa Chadema wana maana gani.
Kauli mbiu hizi ziliwekwa kwa msisitizo kuwa chama chetu kinaheshimu kuwa wananchi ndio namba moja na ndio wamiliki wa chama. Ikiwa na nia ya kupingana na kauli mbiu ya CCM ya kujiita nambari wani. Chama kikaanza kazi kwa kasi, kikiwa kinaonekana kuwa na sura ya kipekee. Toka enzi hizo chama kilijijengea heshima ya kuwa chama cha ustaarabu. Heshima ambayo hadi leo CHADEMA imeitunza.
 
Jiulize chama nini?
Je ni majengo au wananchi?
 
Mkuu hata kwa harakaharaka utaona tu CDM ina uchungu na hii nchi maana imepoteza mwelekeo. NChi imemsahau mwananchi, wachache ndani ya chama wanatafuna rasilimali za nchi hii tena kwa kupeana kifamilia. Disparity kati ya maskini na Tanzania inakuwa kila sekunde. Wananchi kwanza, chama nyuma yao kikitizama maendeleo ya wananchi wao and that is CDM.
 
Hapa chama maana yake kinaundwa na wananchi wengi zaidi ya mmoja/umma wa watanzania hivo maslahi yao kwanza ndipo kwa mwananchi mmojammoja tofauti na chama cha mmojammoja c.cm kinachojali mwananchi mmoja kabla ya wananchi,
 
kauli mbiu ya kwanza ya chama
kauli mbiu ya kwanza zilizopitishwa na chama zilionyesha nia ya msingi ya kutumikia wananchi. Nazo ni:

1.chadema …………………....................vema!
2.mwananchi………………..................nambari wani!
3.chadema …………………...................namba two!
4.vijana………………………..................taifa la leo!
5.kinamama…………………..................walezi!
6.wazee………………………...................dhamana!


watanzania hapa sijawaelewa chadema wana maana gani.
Kauli mbiu hizi ziliwekwa kwa msisitizo kuwa chama chetu kinaheshimu kuwa wananchi ndio namba moja na ndio wamiliki wa chama. Ikiwa na nia ya kupingana na kauli mbiu ya ccm ya kujiita nambari wani. Chama kikaanza kazi kwa kasi, kikiwa kinaonekana kuwa na sura ya kipekee. Toka enzi hizo chama kilijijengea heshima ya kuwa chama cha ustaarabu. Heshima ambayo hadi leo chadema imeitunza.


wewe ni mnafikiiiiiiiii ni vyema uatafuta mada zingine za kuweka
 
Jiulize chama nini?
Je ni majengo au wananchi?

mbona iko wazi imeandikwa wananchi nambari one! Ukiwa ccm kila unachofikiri ni matope tupu! Hivi huwa tunaangalia tunayoandiaka kwenye media? Au mawazo yetu kama gazet la uhuru?
 
Nadhan labda na mi ni kilaza. Ama vinginevyo mchuzi wa bata umeshindwa kuoanisha mambo.
 
Mara huelewi, mara unajaribu kutolea hoja kitu usichokielewa, we vipi! No c.r.a.p on t.a.p
 
Mkuu Mchuzi wa bata umeitoa wapi hiyo? Upo mzee manake siku nyingi nilikuwa sijakusoma hapa jamvini au ulikuwa upo Lupango?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom