Watanzania elimu yetu inatupeleka wapi?

Yasser5

JF-Expert Member
Mar 15, 2012
207
17
Naskitika saana nikiona mabadiliko ya kimazingira na ya kisayansi na teknologia Tanznia bado tumeshikilia elimu aliyo tupakazia nayo bwana wetu mkoloni mwingereza watoto nasema wakti mwingne wana haki ya kuandika viduku na bongo fraver kwenye mitihani yao ya Tanzania ngumu jamani lkn ugumu wake uko kwenye makaratasi huku kwenye really life hakuna uhusiano na hiyo elimu tunayo isoma ndio maana tuna Dr. wengi na ma prfesa lkn nchi wanipeleka chooni.....
hiv kuna haja gani ya kuendelea kusoma PAI ,22/7 sisi watanzania niambieni ni sehm gani ya maisha una po kuta application ya logalithm ni upuuzi lkn nani?..... wenye mamlka wamelala usingizi fofo wala hata hawaoni(waziri,raisi)??? Na sijui huyu shukru kawambwa kweli alistahili kuwa waziri wa elimu basi tu kikwete na vimbwenga vya serikali yake
 
Bado nashindwa kuelewa unataka nini hapa?

Lakini kama upo kwenye kundi la wanaona kuwa hata kusoma Pi ni upotevu wa muda, basi kweli elimu inayotolewa nchini imepoteza dira na malengo!
 
wewe sijui umekurupuka baa gani soma vizuri post nzima na uelewe panazungumziwa nin .....k hapa kulilengwa kuzungumzia update ya elimu
umeutizma mfumo mzima wa ufundishaji mpka produt zake ??? Walim wanawafundisha wanfunzi wao jinsi ya kujibu mtihani (kuklemka) wanafunzi hawelwi mwlim anaona bora kabisa awafanyie lkn ukirudi ukienda ni kweli utagundua mfumo wetu wa elim umekuwa chakavu unaitaji mabadiliko na hilo halitaji maelezo mengi sijui wapi na pai nionyeshe application zake katika mfumo wa sasa wa maisha tulio nao jamani vya zamani vilivyo kwisha kufa ambavyo vilikuwa na umuhim wakti huo wa kupata uhuru kwa sasa tusha jitawara tunaweza kuwa na silabasi inayo endana na sisi wa tzee wa karne hii upooo
 
Naskitika saana nikiona mabadiliko ya kimazingira na ya kisayansi na teknologia Tanznia bado tumeshikilia elimu aliyo tupakazia nayo bwana wetu mkoloni mwingereza watoto nasema wakti mwingne wana haki ya kuandika viduku na bongo fraver kwenye mitihani yao ya Tanzania ngumu jamani lkn ugumu wake uko kwenye makaratasi huku kwenye really life hakuna uhusiano na hiyo elimu tunayo isoma ndio maana tuna Dr. wengi na ma prfesa lkn nchi wanipeleka chooni.....
hiv kuna haja gani ya kuendelea kusoma PAI ,22/7 sisi watanzania niambieni ni sehm gani ya maisha una po kuta application ya logalithm ni upuuzi lkn nani?..... wenye mamlka wamelala usingizi fofo wala hata hawaoni(waziri,raisi)??? Na sijui huyu shukru kawambwa kweli alistahili kuwa waziri wa elimu basi tu kikwete na vimbwenga vya serikali yake

Kwanza kajifundishe kuandika.
 
Nimekuelewa sana kwa kilio chako, na unasema jamabo la maana sana. Ila Tanzania ni shamba la viongozi kuchumia mali tu, halafu wanarudi majumbani kwao kula na kustarehe!! Ndiyo maana watoto wa viongozi wetu hawasomi Tanzania na wala viongozi wetu hawatibiwi Tanzania.

Mweleko wa elimu haupangwi na madokta na maprofesa kama unavyodhani bali unapangwa na viongozi kupitia sera zao za elimu. Profesa hawezi kufundisha critical thinking kwa wanafunzi ambao akili yote imeelekezwa kwenye namna watavyosavaivu siku hiyo. Tulipopata viongozi wanaoambiwa la kufanya kutoka Washington badala yao kupanga mambo ya kufanya kama taifa, ndipo hapo tulipoua taifa letu.

Mungu Ibariki Tanzania.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom