Watanzania eh!? Mimi Rais wenu....

jamii01

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,974
1,400
JK: “Watanzania eh”

WTZ: “Eh”

JK: “Mimi Rais wenu!”

WTZ: “eh!”

JK: “Sina nguvu tena!”

WTZ: “Eh”

JK: “Ya kukamata mafisadi”

WTZ: “Eh”

JK: “Mafisadi ni wajanja”

WTZ: “Eh”

JK: “Wamekomba Benki Kuu” Watoto wanaendelea kuitia “Eh” kwa shauku!

JK: “Wamelangua na Rada”

“Wameiba Meremeta”

“Wamechota nayo EPA”

“Na makampuni mengine”

“Sasa kimbieni!

Watanzania kila mmoja anavyojua anaanza kutimkia kwake na kufanya mambo yake kuokoa maisha yake na ya familia yake
 
Huu utani wa ukweli ni mbaya sana siku nyingine kuwa makini magamba wakikusikia watakushambulia sana humu
 
si vizuri kuleta mambo ya ukweli kwenye jukwaa la utani,
utafungwa wewe!
 
Sidhani kama kuna ukweli ndini yake jk anavyopambana na mafisadi!
 
JK: “Wamekomba Benki Kuu
” Watoto wanaendelea kuitia “Eh” kwa shauku

Hapo ni magamba yanajibu sio watoto!!!!
Nimeipenda!!!
 
Back
Top Bottom