Watanzania 30 wakamatwa huko Italy

View attachment 54518
Hii picha niliichukua mara baada ya kikao cha uchaguzi na ufunguzi wa tawi la jumuiya ya Watanzania Italy siku ya jumamosi tarehe 4/7/2009 ROME. kutoka kushoto, Ndugu ANDREW MHELA (KATIBU) MH.BALOZI KARUME, BI ZUHURA A.KIRRO (MWENYEKITI),MAMA BALOZI NA NDUGU AWADH AMBAE ALICHAGULIWA LUWA MUWEKA HAZINA

Mkuu Asante kwa hiyo picha. Ni kweli huyo wa katikati ndiye Zuhura Kirro, Mama wa nguvu, kiongozi wa wauza unga!!!

Tiba
 
Kwa Hisani ya Google Translator

Roma ukoo wameshindwa ya Watanzania. Wao aliwasiliana kwa lugha ya kiswahili ya kusimamia biashara ya madawa kutoka Brazil

shirika ya biashara ya usafirishaji wa madawa ya kulevya ya kimataifa ilikuwa sgominata kwa wafadhili wa amri ya Mkoa wa Roma, ambao walifanya amri kumi na tano ya kizuizini - iliyotolewa na Hakimu wa Mahakama ya uchunguzi wa Roma Simonetta D'Alessandro, Added kwa ombi la Mwendesha mashtaka wa Jamhuri ya Leonardo Frisani - dhidi ya raia wa Tanzania wanaoishi katika mikoa ya Roma, Naples, Caserta na Latina.

operesheni - dubbed na wapelelezi "Venus" kutoka jina la tovuti ya njia ambayo hoteli walikuwa mchakato kwa ajili ya kukaa wa vipengele wa banda - ni matokeo ya uchunguzi huo, unaoratibiwa na Kurugenzi ya Wilaya ya Kupambana na Mafia katika Roma Fiumicino na uliofanywa na Group, ambao wameanza baada ya kukamatwa, katika uwanja wa ndege Leonardo da Vinci, courier "ovulatore» Tanzania kutoka Brazil, ambaye alikuwa na kukata tamaa juu ya kilo ya cocaine katika vidonge.

Kwa njia ya ujumbe wa maandishi na simu yake kupokea na juu ya kiini simu yake, ilikuwa na uwezekano wa kubainisha wanachama wengine wa kundi la wafanyabiashara wa madawa ya kulevya, wote wa uraia wa Tanzania. msaada mkubwa pia walitoka katika makutano ya habari kuhusiana na booking ya tiketi na habari juu ya abiria kuwasili nchini Italia, ambayo ilionyesha mkurugenzi mwanamke - Marilena De Maria Santana - ambaye aliweza kutuma Brazil mvua ya ovulation kadhaa flygbolag.


Katika Roma na Napoli mtiririko huo kuendeshwa Kirro Kaburuma Zura na Hassan, mkuu wa shirika, ambaye wafuasi waliohesabiwa katika muundo wa kazi mbalimbali maalumu, kutoka usindikaji na kukata usafirishaji wa madawa ya kulevya, na masoko ya kuhifadhi. Watuhumiwa wote aliwasiliana na kila mmoja katika namna ya neno "Swahili" - vigumu kuelewa - na kadi za busara kutumia simu kufanywa nje kwa watu wa mawazo na njia ya "kuhamisha pesa" kurekebisha kifedha mauzo ya kura ya madawa ya kulevya na uhamisho wa 'kigeni chafu.

Mara nyingi, kuwa na uhakika wa mafanikio ya biashara zao, wachawi interpellavano mapema ya kijiji Tanzania na kuulizwa kwa ibada za sadaka propiziarne matokeo. Badala ya kutumia huduma ya kuwasili ya cocaine kutoka Brazil, na Hassan Kaburuma Kirro Zura, pia alichukua huduma ya usambazaji wa heroin, ambao ulifanyika katika mikoa ya Naples na Caserta, kwa njia ya mawasiliano ya moja kwa moja na watoa mwenzetu katika Uturuki na Ugiriki.

Katika kesi moja, hakika ya kipekee, kuishia katika pingu wawili wafanyakazi wa Kirro Zura, ameshikiliwa katika Fiumicino uwanja wa ndege wakati wa majaribio ya kutolewa shehena ya heroin kutumbuiza katika Canada. Kwa njia ya uratibu wa Huduma ya Kati ya Kupambana na Madawa ya Wizara ya Mambo ya Ndani na ushirikiano wa majeshi ya kigeni polisi, baadhi flygbolag, vyama vya moja kwa moja Brazil na Italia, pia wamekamatwa katika viwanja vya ndege wa Lisbon, Madrid, Barcelona, ​​Monaco, Copenhagen na Lyon.


bajeti ya mwisho ni mshtuko wa zaidi ya kilo hamsini za madawa ya kulevya "nzito" - ikiwa ni pamoja na cocaine na heroin - inaweza mavuno ya ushirikiano wa kimataifa kuhusu milioni ishirini, pamoja na hatua restriktiva kufanyika leo dhidi ya wanachama kumi na tano wa chama, kwamba hutolewa mraba wa Roma, Naples, Caserta na Latina.

Giugliano katika Campania, katika moja ya vifaa kali kutumiwa na Watanzania, wamekuwa kupatikana, siri ndani ya bomba, karibu kilo kumi ya heroin na cocaine, tayari kwa ajili ya usambazaji.

Aidha, katika mwenendo wa wiretaps, ina uwezo wa kuchunguza kuwasili katika Italia ya couriers thelathini, ambao walikamatwa katika flagrante delicto wakati wa kuwasili nchini Italia
 
Nimekubali, kweli JF ni kiboko ya elimu. Radio zote za bongo nimesikiliza mpaka hivi sasa bado sijapata habari zozote kuhusiana na hizi habari za kukamatwa wenzetu watafutaji huko majuu. Cha kushangaza media za bongo wako makini kuandika/kusema habari za Lil Wayne ama msanii yeyote wa kimarekani ambaye hatuhusu katika jamii yetu. Nasema hawatuhusu kwa sababu wao si wenzetu japo tunafanana kwa rangi ila haya ya wenzetu waliokamatwa huko Italy yanatuhusu kwani pengine tuna ndugu zetu humo ama hata majirani. Jamani media za bongo mnatia kichefuchefu, why are you useless?
Mkuu Mkereketwa Huyu, its not fair kuita media zetu vichefuchefu na useless kwa sababu tuu hawajaripoti hii issue!.

Tanzania ni Anglophone country news flow inayokuja Tanzania priority ni kutoka English speaking countries!. Taarifa toka mataifa mengine ambayo hawazungumzi Kiingereza ni kupitia internet!.

Hili la wabongo kushikwa Italy ndio wewe unaliona issue kuubwa, wakati kuna wabongo wananyongwa China from time to time and no body speak a word!.

Kuna Watanzania wanauliwa SA kila kukicha and nobody cares!. So what is a big deal kuhusu hao watoto wa Ilala waliojazana Italy?!.

Hivi unaijua idadi ya Watanzania walokwishwa nyongwa China au walikatwa vichwa kwa majambia Saudia baada ya Swala ya Ijumaa kwa issues za drugs?. Hivi mmewahi kuisikia serikali yetu ikifanya lolote?!.

Last year Mtanzania mwenye uraia wa UK alishikwa na drugs pale DIA, ubalozi wa UK walihakikisha anapatiwa 1class treatment as British Subject!, na walitumia diplomatic ways jamaa akaondolewa kinyemela na kurudishwa UK huku kesi imevanish into thin air!.

Wenzetu wanawajali raia wao!. Kwa vile tuna ubalozi Italy, ubalozi wetu ndio wangepaswa kuleta hizo info home ndipo local media wangepick.

Kwani matukio ya raia wetu yanayowatokea nchi Rwanda, Burundi, DRC, Angola, Msumbiji, Zambia na Malawi huwa tuyayasikia?. Ikitokea bahati ndugu zao wana kaji uwezo cha kurudisha mwili kwa maziko ndipo tunasikia, hizo nchi ni majirani zetu kabisa na hatupati habari zao!, sasa ndio itakuwa Italy?!.

Habari media zetu inazozishadidia ni za UK na US kwa sababu ya kujikomba komba tuu!.

Japo nakiri udhaifu wa media zetu haziko all that good ila sio useless au kichefuchefu kwa sababu hata jf ni sehemu ya media zetu!.
 
attachment.php
 
Watanzania hawaaniki kabisa!! Iwe kiongozi au hata raia wa kawaida. Raisi mstaafu A. H Mwinyi aliwahi kueleza mkasa wa kupekuliwa kama kibaka. Takribani kila mtu anayekwenda S. Africa, hususani kijana anakwenda kuuza unga. Muda si mrefu Tanzania itakuwa kama Mexico n.k


Siyo South Afrika pekee, hata Nigeria. Viongozi wengi wa dini feki hapa TZ pamoja na vijana wa mjini huenda huko kwa ajili ya biashara hii. Utakuta mtu hapa Bongo anajifanya ana kampuni then kila kukicha yuko Nigeria, India, Pakistani, South Afrika, na nchi nyingi zenye utata, anatafuta nini huko? Kama wanavyosema wengi humu, huu mtandao ni wa kutisha kweli maana wanaohusika ni wakubwa. Kama kweli ukija kutokea msako wa maana/nguvu hapa Bongo mbona watakamatwa hata vigogo wa serikali kwani hii nchi sasa imekuwa jalala na tunakoelekea ni pabaya mno.
 
Mkuu Pasco...uyasemayo ni kama vile una revise kichwani mwangu as nina dataz zaidi ya hizi bcs I have lived in most of those countries kutafuta maisha na kusikia haya madudu huku TZ wakiwa hawaandiki hizi habari. Hapa tatizo si lugha bali kutojua umuhimu wa habari. Kwani South Africa si wanasema lugha zaidi ya tatu na habari za wabongo kukamatwa ama kuchinjwa si zinakuja nyumbani? Sasa hizo habari zinapatikanaje? Je, wanafanya uchambuzi au wanabahatisha? TZ media is simply useless period, kwani waandishi wa habari TZ hawa wa siku hizi ni sawa na mapaparazzi tu. Wanadakia useless habari na kuacha za maana zinazofaa jamii yetu. Unaelewa kwa nini ninasema useless? Ebu angalia vijana wa Clouds media kwa mfano, mtu English hajuwi vizuri then Kijana huyo huyo will spend hours translating habari za wanamuziki wa Marekani na kuandika globuni pamoja na kutangaza redioni. Kama anaweza fanya hivi kwa nini asitranslate hizi habari za ndugu zetu kwani kule Italy wanayo magazeti ya kiingereza kama ifutavyo (http://www.ansa.it/web/notizie/rubriche/english/english.shtml). Sasa tatizo ni priority ama ni useless wa kutojua umuhimu wa habari? Utashangaa Lil Wayne kakamatwa kwa kunya nje hapo hapo media za bongo zitachapisha na kutangaza redioni upuuzi huo. Media za TZ zifuatilie priorities siyo upuuzi. Samahani kama nimemkwaza mwana habari aliye makini ila wengi wenu mko useless!
 
Mkuu Pasco...uyasemayo ni kama vile una revise kichwani mwangu as nina dataz zaidi ya hizi bcs I have lived in most of those countries kutafuta maisha na kusikia haya madudu huku TZ wakiwa hawaandiki hizi habari. Hapa tatizo si lugha bali kutojua umuhimu wa habari. Kwani South Africa si wanasema lugha zaidi ya tatu na habari za wabongo kukamatwa ama kuchinjwa si zinakuja nyumbani? Sasa hizo habari zinapatikanaje? Je, wanafanya uchambuzi au wanabahatisha? TZ media is simply useless period, kwani waandishi wa habari TZ hawa wa siku hizi ni sawa na mapaparazzi tu. Wanadakia useless habari na kuacha za maana zinazofaa jamii yetu. Unaelewa kwa nini ninasema useless? Ebu angalia vijana wa Clouds media kwa mfano, mtu English hajuwi vizuri then Kijana huyo huyo will spend hours translating habari za wanamuziki wa Marekani na kuandika globuni pamoja na kutangaza redioni. Kama anaweza fanya hivi kwa nini asitranslate hizi habari za ndugu zetu kwani kule Italy wanayo magazeti ya kiingereza kama ifutavyo (http://www.ansa.it/web/notizie/rubriche/english/english.shtml). Sasa tatizo ni priority ama ni useless wa kutojua umuhimu wa habari? Utashangaa Lil Wayne kakamatwa kwa kunya nje hapo hapo media za bongo zitachapisha na kutangaza redioni upuuzi huo. Media za TZ zifuatilie priorities siyo upuuzi. Samahani kama nimemkwaza mwana habari aliye makini ila wengi wenu mko useless!

Umeongea ukweli mkuu....
 
Kwa Hisani ya Google Translator


Mkuu, hii google translator ni disaster tupu.Haileti maana halisi ya kilichokusudiwa kusemwa. Ngoja nikipata muda wakutosha nitawawekea tafsiri halisi!!!

Tiba
 
Mkuu, hii google translator ni disaster tupu.Haileti maana halisi ya kilichokusudiwa kusemwa. Ngoja nikipata muda wakutosha nitawawekea tafsiri halisi!!!

Tiba

Hi kweli kuwa pengine hatujui ukweli wa jambo hili kwa vile hatuna makalimani wa lugha ya kiitaliani. Lakini bado hii ni aibu kubwa sana kwa Taifa letu. Huyu ZUHURA KIRRO ni nani? Ni aibu sana kusikia habari hizi! Je Ubalozi wetu kule Italia una taarifa za kukamatwa mara kwa mara kwa mama huyo? Mbona serikali yetu haitoi ushirikiano juu ya swala hilo, ina maana Ubalozi wa Tanzania nchini Italia, unapata habari za mama huyo mchafuzi wa nchi yetu lakini hautoi ushauri kwa serikali yetu? Vipi wawasikilishi wetu huko Italia mnafanya kazi gani huko Italia? Sifa nzuri ya Tanzania sasa inavurugwa na kundi hili dogo la wauza unga huku serikali yetu inawakenulia macho, ni wakati sasa wa kusema basi, serikali isiwaonee aibu watu hawa!
Kama raia mwema naiomba sana serikali ya Tanzania, itangaze kwa vitendo vita hii ya biashara ya dawa za kulevya... na wasiwaonee huruma hawa wanaoaibisha nchi yetu huko nje.
 
nchi yenyewe inajiaibisha hakuna viwanda hakuna mashamba makubwa we unafkiri watu watafanya kazi wapi wakati nchi aizalishi chochote hata umeme unazalishwa kwa tabu sasa mnategemea watu watafanya kazi gani au mnataka wote tukae katika teller za mabenk na kusubili lak 3? Au mnataka wote tupate viajira legelege vya makampuni ya simu? Hakuna hata mipango kwa ajili ya watu tusio na elimu hata hao wenye elimu pamoja na vidigrii vyao lakini awatii pua kwenye ushindani wa kimataifa mlitegemea wafanye nn nawapa hongera sana hawa kina zuhura
 
Back
Top Bottom