Watanzania 27 wanamiliki mabilioni Uswisi

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,877
32,270
Wanabodi,

Watanzania 27 wakiwamo wanasiasa na wafanya biashara, imebainika kuwa ndio wameficha mabilioni ya fedha nchini Uswisi, huku mmoja wao akiwa anamiliki Dola za Marekani milioni 56 (sawa na Sh89.6 bilioni).

Taarifa hizo zinaeleza kuwa mbali na kigogo anayemiliki Sh90 bilioni, wapo wengine wanne, ambapo anayefuatia anamiliki Dola 30 milioni (Sh48 bilioni) mwingine Dola 20 milioni (Sh32 bilioni) na wengine wawili kila mmoja anamiliki Dola 10 milioni (Sh16 bilioni). Katika orodha ya walioweka fedha nchini humo, pia wamo wawili waliowahi kuwa mawaziri katika Serikali ya Awamu ya kwanza ya Mwalimu Julius Nyerere, ambao wanamiliki Dola 500,000 kwa kila mmoja.

Miongoni mwa wanaomiliki fedha hizo ni kiongozi wa juu nchini pamoja na aliyepata kuwa waziri katika Serikali ya Awamu ya Tatu iliyoongozwa na Rais Benjamin Mkapa.

SOURCE: MWANANCHI AGOSTI 18 2012
 
Ripota wa gazeti.

una kazi nyingi wewe!
 
Hamtaji majina mnaleta ngojera tu hapa,kwani story ya hivyo hata mtoto wangu si anaweza andika?

Upande mwingine wa sh namshagaa sana kikwete anaenda kulamba wazungu viatu ulaya na kumbe pesa kbao zimekaa tu bank ,

RIZ ,Ujue sasa hicho chama chenu kimejaa wezi na majambazi,i hate ccm
 
I cant believe, tunaomba serikali ithibitishe hili, nimemkumbuka Nyerere alisamee pension yake kwa kuwa nchi ni maskini, kumbe kuna nyang'au walikuwa wanasubiria aondoke waanze kuamisha hizi fedha. Mimi nawaomba wananchi tuamke nakulipigania hili. Hata kama serikali itakataa kuwataja na kuwachukulia hatua kali ikiwemo kufilisiwa, sisi tukutane jangwani kuelekea ikulu kumshinikiza rais arudishe hizo fedha au ajiuZulu. Currently we are talking inflation which is 20%+ shame on CCM
 
Time will tell,kila kitu kitafahamika na ndiyo itakuwa mwisho wa hawa magamba.kuoneana aibu sasa basi.
 
Wanabodi,

Watanzania 27 wakiwamo wanasiasa na wafanya biashara, imebainika kuwa ndio wameficha mabilioni ya fedha nchini Uswisi, huku mmoja wao akiwa anamiliki Dola za Marekani milioni 56 (sawa na Sh89.6 bilioni).

Taarifa hizo zinaeleza kuwa mbali na kigogo anayemiliki Sh90 bilioni, wapo wengine wanne, ambapo anayefuatia anamiliki Dola 30 milioni (Sh48 bilioni) mwingine Dola 20 milioni (Sh32 bilioni) na wengine wawili kila mmoja anamiliki Dola 10 milioni (Sh16 bilioni). Katika orodha ya walioweka fedha nchini humo, pia wamo wawili waliowahi kuwa mawaziri katika Serikali ya Awamu ya kwanza ya Mwalimu Julius Nyerere, ambao wanamiliki Dola 500,000 kwa kila mmoja.

Miongoni mwa wanaomiliki fedha hizo ni kiongozi wa juu nchini pamoja na aliyepata kuwa waziri katika Serikali ya Awamu ya Tatu iliyoongozwa na Rais Benjamin Mkapa.

SOURCE: MWANANCHI AGOSTI 18 2012

Nape na Ndugai wanasemaje kuhusu hili!!??
 
kama watu wanajua mpaka na kiasi cha fedha kilichofichwa na wahusika , inakuwaje wanashindwa kutaja majina? Au kile kile kitendo cha serikali kulifungia mwanahalisi kimeweza kufanikisha nia ya serikali ya kuwatia woga wamiliki wa vyombo vya habari?
 
Watanzania tuamke tuwaunge mkono wanaharakati kwa vitendo ktk jitihada zao mbalimbali za kulikomboa taifa letu.
 
Hii nchi kweli shamba la bibi mpaka wakati wa Nyerere napo watu wamefanya ufisadi, tatizo muandishi kaficha majina.
 
Back
Top Bottom