Watani zangu.

Sikutaka kuirudisha hii topic, lakini juzi nikamuomba rafiki yangu Mapunda aniletee binti wa kumsaidia mama kazi za ndani na pesa nikampa.Kuja kumfikisha binti,mama akaniuliza mbona huyu binti amenawiri hivi nina mashaka hebu tumpeleke hospitali,kufika kwa daktari,akaniambia mbona wameshammimba huyu,nikakubali nikasema watani zangu hongera.
 
<br />
<br />
hahaaa mtani tiwonjili kwanza ka mdala hako km kabwina au la hahaaaaa yaani tunaonja kwanza km kazuri bin katamu au laaa.
 
Wangoni bwana,si wa kike wala wakiume kwao dili kuduana tu pesa baadaye,pengine ndo maana wafupi kamananiii za wahehe na wagogo.
 
Watani mnapajua hapa?

moz-screenshot.jpg
 
Back
Top Bottom