Watani na bei ya Okwi

Anselm

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
1,710
291
Najua kuna watakaoniita Mnafiki,lkn kama kuongelea kitu ambacho kwa mtazamo wa kawaida kabisa kinaonekana siyo cha kawaida wacha tu niendelee kuitwa hivyohivyo lkn sitaacha kusema.
Watani kupitia Msemaji wao Bwana Ezekiel Kimwaga wametangaza bei ya Super Striker wao Emanuel Okwi kuwa ni fedha za kitanzania Billioni mbili (2000,000,000/= In tarakimu). Jambo 1 ambalo limekuwa nikijiulizaga kila wakati ni kuwa kama Viongozi wa mabingwa hawa wa soka hapa Tanzania huwa wanajua wanachokizungumzaga au huwa wanazungumza tu kwasababu maneno hayalipiwi kodi,hii siyo mara ya kwanza kwa washika hatamu wa Club hiyo kongwe kuutangazia uma "utumbo"...sijui huwa wanafanya hivyo kwa faida ya nani hasa?
Bei ya 2 billion kwa Okwi wa kupanda na kushuka kiwango mechi 1 hadi nyingine haimsaidii mchezaji hata kidogo,hiyo ni sawasawa na kusema Okwi hauzwi kwa namna yeyote ile, kwasbabau ni Chizi tu anayeweza kuvunja benki kumsajili mchezaji wa kiwango cha Okwi kwa gharama hiyo. Hivi, mfano, leo hii ukiwaambia wale Al Ahly Shandy kuwa Okwi anauzwa kwa US$ 1,500,000 si watacheka mpaka wazimie.
Ushauri wangu (whether they take it or not);
Kama wana nia ya kumuuza Okwi kwa faida yao na ya mchezaji mwenyewe wa'set bei inayostahili kwa mchezaji wa kiwango chake then wa'add vipengele ambavyo vitakuwa vinawanufaisha hata wao ikiwa mchezaji atazidi kufanya vizuri ni kuuzwa kuelekea team kubwa za Ulaya,tofauti na hapo ataendelea kucheza pale kwenye uwanja wa Kinesi(Simba wanapofanyiaga mazoezi) mpaka siku atakapojanjaluka na kutokomea 1 kwa 1 asirudi.

Nawasilisha!
 
Wamemuambia nani hiyo bei? amebandikwa? au imetangazwa kuwa yuko sokoni?
 
Source: Magazeti mbalimbali ya leo: Bingwa,Mseto,Nipashe etc ni kauli iliyotolewa na Club kupitia Mseamaji wake Bwana Ezekiel Kamwaga
 
Sidhani kama hao viongozi wa Simba wameenda Shule,huyo Amri Zakhi mwenyewe alisajiliwa Sunderland ya Uingereza na haikuzidi Bilion 2
 
ili swali na hoja uliyoleta hapa haya 'unayoita' magazeti yalipaswa kumuhoji palepale aliposema, kwa hiyo tatizo lingine usishangae kusikia rais mstaafu Mkapa alipowaponda waandishi wa habari wa Tz!

Sidhani kama hao viongozi wa Simba wameenda Shule,huyo Amri Zakhi mwenyewe alisajiliwa Sunderland ya Uingereza na haikuzidi Bilion 2
sisi ni maneno tu na sio ajabu kukuta kiongozi wa vijana Yanga Makere (na Simba), au Mzee Akilimali akiongelea Million 850,000,000/- utadhani aliwahi hata kuziona kwa macho!
Hivi hawa jamaa wanajua vigezo vinavyotumika ku-value mchezaji!!!!?

Hivi mapato yao kwa msimu huu ulioisha wamefikisha hizo billioni mbili?, ..................yanaaza kulia mbwata sasa inawezekana mswahili keshapata sasa!
 
Sidhani kama hao viongozi wa Simba wameenda Shule,huyo Amri Zakhi mwenyewe alisajiliwa Sunderland ya Uingereza na haikuzidi Bilion 2

AMRI ZHAKI hajawahi kusajiliwa Sunderland,msimu wa 2008-2009 alikwenda loan Wigan Athletic..Na alikuwa loan Hull city 2010.
 
Sidhani kama hao viongozi wa Simba wameenda Shule,huyo Amri Zakhi mwenyewe alisajiliwa Sunderland ya Uingereza na haikuzidi Bilion 2

Viongozi wa sampuli hii ningekuwa na uwezo ni kuwawekea kodi kwenye kila neno wanaloongea hasa to public,hawawezi kuitisha press na kuutangazia Uma utumbo kama huu "Eti billioni 2"
 
Watani kama mnazo hizo bilioni 2 pelekeni tu kama hamna mnaacha tu ya nini kulalama biashara haigombi bwana.
 
Jana usiku nilimsikia msemaji wa Simba bwana Ezekiel Kimwaga akimwaga utumbo huo wakati akihojiwa na watangazaji wa kipindi cha michezo cha radio One . Alisema bei ya Okwi ni EURO 850,000 halafu timu inayomtaka lazima:
1. Iwe na uongozi bora usio na migogoro
2. Isiwe na madeni kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Eti simba haitaki mchezaji wake auzwe mahali atakapopata shida
 
yule m'popo wa El Merreikh ya sudan alilipiwa kitu cha 2.5 B(anaitwa Worgu kama sikosei).kaja hapa kagame iliyopita anakaanga bisi uwanjani.sioni kama haiwezekani mkuu na zaidi sioni kwanini ikutoe povu namna hii!
 
alisema timu anayokwenda lazima iwe na uongozi.
Na pia lazma iwe haidaiwi na wachezaji....
Statement hii imemshusha thamani kwangu mm,coz mpira sio taarabu
 
yule m'popo wa El Merreikh ya sudan alilipiwa kitu cha 2.5 B(anaitwa Worgu kama sikosei).kaja hapa kagame iliyopita anakaanga bisi uwanjani.sioni kama haiwezekani mkuu na zaidi sioni kwanini ikutoe povu namna hii!

Kaka Povu ni lile alilokuwa anatoa msemaji wenu kwa Press,halafu kihalisia kabisa huwezi kumlinganisha Worgu aliyekuwa kinara wa mafanikio ya Enyimba miaka ile imechukua ubingwa wa Africa mara 2 na Okwi wa mafanikio ya Simba ya kupigwa mwaka (12) kule Shandy,halafu nikukumbushe tu El-Mereikh waliingilia kati deal ya Worgu kwenda kuchezea team ya Ligi kuu ya Ufaransa kwa kupanda dau zaidi ndo maana deal ikafikia pale,pia ilichangiwa na mafanikio ya mchezaji katika ngazi ya Club (Enyimba) na team ya Taifa ya Nigeria.
 
..kwa sasa analipwa bei gani hapo simba...?

Nitakutafutia figure lkn kwa sasa hayupo hata katika list ya wachezaji wanaolipwa vizuri zaidi Simba,mchezaji anayelipwa vizuri kuliko wote Simba ni Felix Sunzu nasikia analipwa dollar 3,500 kwa mwezi wakati kwa upande wa Wazawa Galasa Victor Costa ndo alikuwa anakamatia kitita kikubwa zaidi.
 
Nyie ni Yanga tuuu kama Hamna hela acheni kutaka kusajili wachezaji wanaowasumbua uwnjani
 
Back
Top Bottom