Watangazaji wanaokubalika katika Idhaa za Kiswahili

Solomon Mugera BBC,Chalz Omuga Kabisai,Fredy Obachi Machokaa wote KBC

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
aisee kama kuna sauti za ajabu ambazo zinamvuto kwa wasikilizaji...mama oumilkheir analiongoza jahazi hilo..first time nilihisi ana mafua kumbe ndo sauti ya kazi big up kwake mama
 
aisee kama kuna sauti za
ajabu ambazo zinamvuto kwa wasikilizaji...mama oumilkheir analiongoza
jahazi hilo..first time nilihisi ana mafua kumbe ndo sauti ya kazi big
up kwake mama

Mama Oumlykhery Amidou bamkubali lakini kuna mmoja alikuwa anatangaza tangu mama yupo mdogo anaitwa . . . . Othuman Miraji
 
Othman Miradji alistaafu
Sauti ya Ujerumani. Kwa taarifa tu ni ndugu wa damu na marehemu prof.
Haroub Othman

Aisee, kumbe alishastaafu huyu mzee picha nimesearch Google sijaipata nione anafananaje,
 
Dah,mimi Sauti za watu hawa Othman Miraji,Vincet Makori,Abdul Shakur Aboud na Esther Githui zinaniacha hoi kweli na kunipa hamu ya kuendelea kuwasikiliza,hapa Bongo Sauti za Julius Nyaisanga R.I.P,Ahmed Kipozi,Mikidad Mahamoud na Ahmed Kisengo ndio balaa.
 
Mwamoyo hamza- VOA, Kassim Kaira BBC. Hamida Issa- DW! Naipenda sana sauti ya Hadija Liami wa VOA! Yupo pia Ally Mutasa, Baruan Muhuza, Esta Githui -VOA, Leonard Mubali- BBC

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom