Watangazaji wa FM Redio miaka ya 90`s na early 2000`s

Kivumah

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,428
1,050
..Wanajamvi tujikumbushe Watangazaji wa FM Redios miaka ya 90`s na 2000`s ambao walikuwa wana ueledi (professionalism) ya Muziki katika vipindi vyao vya Radio. tofauti na sasa kila ukifungua Redio ni Bongo Fleva kutwa kucha
Mimi nawakumbuka hawa:
1. Charls Hillary - kipindi cha Charanga Time, Radio One. Mpaka akabatizwa Mzee wa Macharanga.
2. Masoud Masoud - Nae alianzia Radio One, miziki ya Salsa, Rhumba etc nilikuwa napenda kumsikiliza tu anavyoujua Muziki.
Yupo wapi sasa Masoud??

the list goes on guys...
 
Back
Top Bottom