Watangazaji star TV bungeni kuweni makini

Stanley.

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
660
298
Kuna tabia ambayo inajirudia rudia kwa watangazaji wa star tv bungeni Dodoma hawazimi mic zao hivyo maongezi yao yanasikika pamoja na matangazo ya bunge. Mfano leo wakati simbachawene anajibu maswali alisikika Mtangazaji FARAJI MWAGOA anaiponda serikali kuwa majibu yake ni yale ya ' vuta subira' jitihada zinafanyika' na 'upembuzi yakinifu'. Muda huu pia amesikika dada anazungumza anacheka. Naomba wasijisahau!
 
Na saa nyingine wanamfocus mtu kwa nia mbaya (with a malicious motive); huwezi ammini lakini kuna siku wamemfuatilia Mbunge fulani mrembo alipokuwa amekaa na mpaka aliponyanyuka kutoka nje why?
 
Na saa nyingine wanamfocus mtu kwa nia mbaya (with a malicious motive); huwezi ammini lakini kuna siku wamemfuatilia Mbunge fulani mrembo alipokuwa amekaa na mpaka aliponyanyuka kutoka nje why?

Nadhani watakuwa wamesikia maana chombo chao ni kikubwa na kinaaminika umakini unatakiwa.
 
Huyo Faraji ana haki zote kutoa comments zake juu ya anachosikia, lakini anaposikika kwenye media kubwa kama STAR TV kupitia backing sound, anaweza kujiharibia mambo yake.
Kwa ishu ya kumwonyesha mtu kwa kumpania, hiyo ni tabia chafu sana, maana unapoonyesha personal interest kwa mtu kupitia kwenye tvmedia unaiharibia jina media na kuidharaulisha. Naamini wakubwa wa programs za tv watayafanyia kazi.
 
Huyo Faraji ana haki zote kutoa comments zake juu ya anachosikia, lakini anaposikika kwenye media kubwa kama STAR TV, anaweza kujiharibia mambo yake.
Kwa ishu ya kumwonyesha mtu kwa kumpania, hiyo ni tabia chafu sana, maana unapoonyesha personal interest kwa mtu kupitia kwenye tvmedia unaiharibia jina media na kuidharaulisha.

Tatizo waandishi wetu wengi wanataka kuwa wahabarishaji na pia wacheze ngoma hiyo hiyo wanayoiandikia story.
 
I Like the way Faraji is doing in the Bunge sensions but take care!!
Ethics should be strictly followed or else things will fall apart!!
 
Kuna tabia ambayo inajirudia rudia kwa watangazaji wa star tv bungeni Dodoma hawazimi mic zao hivyo maongezi yao yanasikika pamoja na matangazo ya bunge. Mfano leo wakati simbachawene anajibu maswali alisikika Mtangazaji FARAJI MWAGOA anaiponda serikali kuwa majibu yake ni yale ya ' vuta subira' jitihada zinafanyika' na 'upembuzi yakinifu'. Muda huu pia amesikika dada anazungumza anacheka. Naomba wasijisahau!
MAP Faraji Mwagoa.
 
Back
Top Bottom