Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 14,969
- 10,462
Watangazaji wa Radio one na ITV Bi Regina Mwalekwa na Milad Ayo wameacha kazi na kuna tetesi wanahamia CLOUDS Fm.
Pamwe na kwamba ni thread ya mwaka 2010,nitachangia. Kwa uzoefu na uelewa wangu, Radio One ni kama shule fulani ya kutengeneza watangazaji mahiri. Wengi hutoka pale na kwenda kwenye mashirika makubwa ya habari. Mifano ni Flora Nducha (BBC), Salim Kikeke (DW), Suzanne Mungi (DW) kabla hajaitwa TBC, Abdallah Majura, Basil Mbakile etc, lakini hili la kutoka redio one ambayo ni reputable na kwenda Clouds mh! Mwalekwa alipewa hadhi ya ujumbe katika baraza la Kiswahili kwa kuendesha kipindi cha Kiswahili cha radio one ambacho hurushwa kila Jumamosi, hope ujumbe huo ashanyang'anywa kufikia sasa kwa sababu kile kilichompa ujumbe huo hakifanyi kwa sasa.
Otherwise kubadili mwajiri ni suala la kawaida