Watangazaji Radio Five Kugoma?

Twilumba

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
11,529
12,366
Kuna tetesi nazipata hapa nilipo kuwa huenda wafanyakazi wa ile radio inayosemekana ya Mh. Huenda wakagoma baada ya uvumilivu wa kusubiria mshahara wao wa mwezi Nov 2011 kutozaa matunda!

Habari za ndani zinasema Meneja na mhasibu wa Radio hiyo jana waliwaahidi wafanyakazi kuwalipa leo lakini wameshindwa kutekeleza ahadi hiyo kabisa na hadi ss hawapatikani hewani kabisa kitu ambacho kinaweza kupelekea wafanyakazi hao kugomea kazi!

My Take:
Uongozi wa hiyo media wanaanza kudidimiza juhudi za mzee kutakakujisafisha!

Source: chanzo cha ndani huko huko-Radio five!
 
mtagoma nyie???? Makanjanja mgome mfukuzwe? Nani atawaajiri wakati hata vyeti hamna mmeajiriwa kwa hisani acha mzungushwe ngumbaru pori na kuigaiga kwenu
 
mtagoma nyie???? Makanjanja mgome mfukuzwe? Nani atawaajiri wakati hata vyeti hamna mmeajiriwa kwa hisani acha mzungushwe ngumbaru pori na kuigaiga kwenu​

hahahahahahaha..
 
wakigoma wataajiriwa wengine...hapo ndipo wafanyakazi wanapokosa sauti na nguvu..mijitu kibao ipo mtaani na elimu zao,..nafasi yako haitachukua siku mbili itakuwa imepata mtu..hilo lisikufanye usigombanie haki yako..
 
Babaubaya! Kama una contant zao hebu waambie wagome wote! Ama waweke mgomo baridi tuone nini kitajiri!
 
Mkigoma kutangaza ni nani atakaye watangaza kuwa mumegoma maana mtashindwa hata kujitangaza!!!!!!
 
Kuna tetesi nazipata hapa nilipo kuwa huenda wafanyakazi wa ile radio inayosemekana ya Mh. Huenda wakagoma baada ya uvumilivu wa kusubiria mshahara wao wa mwezi Nov 2011 kutozaa matunda!

Habari za ndani zinasema Meneja na mhasibu wa Radio hiyo jana waliwaahidi wafanyakazi kuwalipa leo lakini wameshindwa kutekeleza ahadi hiyo kabisa na hadi ss hawapatikani hewani kabisa kitu ambacho kinaweza kupelekea wafanyakazi hao kugomea kazi!

My Take:
Uongozi wa hiyo media wanaanza kudidimiza juhudi za mzee kutakakujisafisha!

Source: chanzo cha ndani huko huko-Radio five!
Nasikia hii ni mali ya Lowassa!!!!!!!!!!
 
Nasikia hii ni mali ya Lowassa!!!!!!!!!!

Lakini huyo jamaa hawezi kuwa amekosa hiyo hela ya kuwalipa wafanyakazi wake nadhani aliowapa dhamana ya kusimamia ndo tatizo watakuwa wamekula na kugawa kidogo kwenye nyumba ndogo zao!
Kipindi cha sikukuu hiki matumizi yanakuwa makubwa usipokuwa makini kasima zinabust!
 
Gomeni muone. Wote hapo ni felia, hata cheti hamna. Hayo ndio matunda ya kukimbia shule.

Sisi wenzenu tar 22 tunakula salary. Mwisho wa mwaka ma-bonus kibao. Shule raha sana.
 
Back
Top Bottom