Watangazaji na unafiki katika kuikuza bongoflava

bayonet

Member
Jan 7, 2011
43
0
Nawashangaa sana watangazaji hasa wanaojiita wanamapinduzi wa muziki a kizazi kipya ama bongoflava...hivi kwanini wanawalazimisha mashabiki wa kitanzania wauamini na kuupenda muziki huu kwa kuamini kuwa eti ndo muziki ulio juu zaidi ya miziki mingine kama dansi,taarabu,kwaya,bakurutu n.k??hivi mtangazaji anapokaa mbele y akamera ama mic na kuanza oh muziki umekua,oh cjui nini???wanatumia vigezo gani?msanii gani wa bongo flava kauza paltinum kwa album yake nje ya nchi?nani kafanya show ya uhakika kumbi zinazoheshimika duniani kama bercy,olympia,zenith au south afrika??nani katwaa tuzo katioka kora??na bahati mbaya wanawaita superstars,na kuwaita eti wanamuziki wakati zaidi ya kubana pua hawajui hata gitaa,kinanda,ngoma,saxphone zinatumikaje...ACHENI UPUPU WENU........
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom