GHIBUU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 4,432
- 3,006
Zenji labda uwape tahadhari ya makalio yao hao wabara wenzenu lakini hakuna tabia hizo kwa wazanzbari,hatujafika huko kutokana na utamaduni zetu,hakuna asojua.
,,,,,@ nilipo BOLD,,,Mmmh kaka hio sio ZENJI ya leo,leo hii hakuna watu tapeli ka watoto wa hapo DARAJANI,kuna hao jamaa wanajifanya madalali wa kuuza magari,ukiingia vibaya tu wanakuumiza,tena nawapa tahadhari ndugu zangu BARA huko,usije ukathubutu ku deal na hao watu,unless uhakikishe kila kitu kipo mezani,yaani ka ni gari unaliona,na hakikisha unaondoka zenji baada ya kuwa umeshalipakia kwenye meli,na meli IMESHAONDOKA na we ndo uondoke,kuna jamaa anaitwa SAIDI (al maarufu KIBAHOLA),na mwenzake KHAMIS BAPE,ni balaa,wameliza watu miliioni zaidi ya 100,huko bara na hapo kisiwani,ZENJI IMEBADIKA kabisa.