Watanganyika twende tukawafundishe siasa wazanzinzibari

DCONSCIOUS

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,269
473
Nimejaribu kufwatiria siasa za Zanzibar kwenye Mzarendo.net mtandao wa kijamii wa siasa za zanzibar nilicho gundua ni kwamba hawa watu hawajielewi, wamelewa na pombe ya SUKI hata uwezo wao wa kuchambua hoja ni mdogo sanaa ! Hebu jaribuni kutembelea kwenye hiyo web yao umjionee madudu , plz naomba msaada wenu wa kuwasidia hawa viraza.
 
Na kutokujua kwao Siasa ndiyo pona yao. Huoni gere wenzetu wana hoja za utaifa (Muafaka, Katiba mpya, dola kamili, Benki Kuu, n.k) na siasa za maendeleo (bei karafuu juu, mafuta na gesi si ya muungano, n.k)?!

Sisi tumekalia siasa za porojo, majungu, uzandiki na unafiki. Taifa halina mtazamo wa mbali (VISION), Hakuna Hoja za Kitaifa na linatupelekea kupoteza tunu za Taifa letu pendwa.
 
baba abdalah kumbe nawe siasa wazijua? Du? Mie napita tu,atleast leo nimekufumania!! Hahahahahahahaha karibu boko tule nyama ya mbuzi mwaka mpya huu!!!
 
Ah wewe Mtanganyika uliyekuwa ukijua 'idumu TANU pamoja na fikra sahihi za Mwalimu Nyerere' tu ndiyo leo unakwenda kufundisha Wazanzibari siasa!

Ama kweli akutukanae hakuchagulii tusi.
 
Na kutokujua kwao Siasa ndiyo pona yao. Huoni gere wenzetu wana hoja za utaifa (Muafaka, Katiba mpya, dola kamili, Benki Kuu, n.k) na siasa za maendeleo (bei karafuu juu, mafuta na gesi si ya muungano, n.k)?!

Sisi tumekalia siasa za porojo, majungu, uzandiki na unafiki. Taifa halina mtazamo wa mbali (VISION), Hakuna Hoja za Kitaifa na linatupelekea kupoteza tunu za Taifa letu pendwa.

Mkuu salute,
Aminia mwanangu kweli unajua siasa za WaZanzibari kwa umbali.....
wale mayakhe mkuu wanawafundisha siasa mpaka watoto wadogo Mzanzibari ukifika umri wa miaka saba tu Wakongwe wanaanza kukufundisa Historia ya nchi ya Zanzibar na kila kitu watoto kule Zanzibari wanajua kama babu zao walikuwa wanatumia Rupia sio shillings
A%20S%20465.gif
 
Na kutokujua kwao Siasa ndiyo pona yao. Huoni gere wenzetu wana hoja za utaifa (Muafaka, Katiba mpya, dola kamili, Benki Kuu, n.k) na siasa za maendeleo (bei karafuu juu, mafuta na gesi si ya muungano, n.k)?!

Sisi tumekalia siasa za porojo, majungu, uzandiki na unafiki. Taifa halina mtazamo wa mbali (VISION), Hakuna Hoja za Kitaifa na linatupelekea kupoteza tunu za Taifa letu pendwa.
Sisi kama watanganyika tutaungana tuwadai nini wazanzibar?uoni zanzibar ni kama koloni letu?tafakari kwa makini!
 
Hakuna Watanganyika sema Watanzania, sasa tukawafundishe siasa gani wakati sisi wenyewe tupo hoi
 
Wanzazibari wametuacha mbali mno katika masuala yanayowahusu, na kwangu mie nawahesabu ni wakoloni kwani wana uwezo wa kututawala, kuajiriwa kwetu, kuiba mali za watanganyika halafu wanaenda kuwekeza kwao. wametuzidi mengi mno
 
Sisi kama watanganyika tutaungana tuwadai nini wazanzibar?uoni zanzibar ni kama koloni letu?tafakari kwa makini!

TUKUTUKU,
Unahitaji dalasa la siku nzima. Na kama Elimu yote ambayo Mh. Tundu Lissu amekuwa akitoa haijakufungua kujua kuwa Znz achilia mbali kutokuwa koloni lakini pia si mubia sawa katika Muungano basi tafakali yako ni butu kabisa!

Umeona au kusoma wapi koloni lenye dola huru kabisa inayojiamulia na kutekeleza mambo yake yake kimaendeleo kwa mustakabali wa watu wake? Kama kuwa hivi ndo ukoloni basi makoloni yanafaidi zaidi ya Mkoloni!
 
It must be realized that for at least 130 years zanzibar has had a civilized and peaceful existence under organized goverment where racial and religious harmony has been keynote. Soma historia kaka. Karibu zanzibar usome siasa.
 
Alokudanganya hakuna Watanganyika ni nani? Mimi ni Mtanganyika kamili na ambaye naipenda nchi yangu(Tanganyika) kuliko ki2 chochote. Iko siku kama siyo leo ni kesho wana wa watoto wangu wataishi kwa amani ndani ya Tanganyika yao.
Kuhusu Watanganyika kuwafundisha Wazanzibar nadhani tujifunze utaifa na kuipenda nchi yetu (Tanganyika) kama Wazenji na mengine tujifunze toka kwao. Kama ni cha kujifunza toka kwetu wazenji labda wajifunze majungu kama alivyojifunza Hamadi wa CUF baada ya kulowea Kawe.
Hakuna Watanganyika sema Watanzania, sasa tukawafundishe siasa gani wakati sisi wenyewe tupo hoi
 
Alokudanganya hakuna Watanganyika ni nani? Mimi ni Mtanganyika kamili na ambaye naipenda nchi yangu(Tanganyika) kuliko ki2 chochote. Iko siku kama siyo leo ni kesho wana wa watoto wangu wataishi kwa amani ndani ya Tanganyika yao.
Kuhusu Watanganyika kuwafundisha Wazanzibar nadhani tujifunze utaifa na kuipenda nchi yetu (Tanganyika) kama Wazenji na mengine tujifunze toka kwao. Kama ni cha kujifunza toka kwetu wazenji labda wajifunze majungu kama alivyojifunza Hamadi wa CUF baada ya kulowea Kawe.

Kumbe unaongea mawazo Rais wa Tanganyika ni nani?
 
Waulize CCM wenzako ndo wanamjua. Kama hakuna Tanganyika Zanzibar waliungana na nchi gani basi ndio likazaliwa hilo litanzania lenu? Mnataka muoue nchi yetu kwa hoja zenu hizo muflisi za nani ni rais? Tanganyika bado ipo na inaishi rohoni mwako na mwangu na tunachosubiri ni hili limuungano livunjike ndio utajua ipo ama ishakufa.
Kumbe unaongea mawazo Rais wa Tanganyika ni nani?
 
DCONSCIOUS, kabla hatujaenda mbali hebu soma hapa; RA RE RI RO RU , LA LE LI LO LU. Sasa nunua kitabu cha soma kwa hatua ujifunze tofauti zake! Turudi kwenye mada. Sisi watanganyika hatuna uwezo huo unaousema. Waz'bari wanajitambua.wanajua wanachokifanya.wana katiba yao,bendera yao nakadhalika. Kwa kifupi hata hiyo benk wanayodai wanajua wanafanya nn. I wapi tanganyika? Watanganyika tupo katkat ya usingizi.si wanasi-hasa,si wanazuoni bado hatujajitambua. Lait watanganyika tungekuwa tumekomaa kias cha kuwafundisha siasa wazanzibari, vyama vingi na siasa za tanganyika zsingekuwa hivi hata baada ya miaka takriban ishirini. Tujifunze kusoma na kuumba herufi kabla ya kudhan tunaweza tunaweza kuwa walimu wa wenzetu.
 
Back
Top Bottom