Watambuzi wa MATUKIO naomba ufafanuzi juu ya hii picha

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,803
637
Sielewi ni nini kinatokea hapa na nili na wapi?

maandamano.jpg

Inaonekana kama kuna mama ndani anakwepa kipigo cha polisi na nyuma kuna msafara wa kiongozi mkubwa Rais au waziri mkuu
 
Sielewi ni nini kinatokea hapa na nili na wapi?

maandamano.jpg

Inaonekana kama kuna mama ndani anakwepa kipigo cha polisi na nyuma kuna msafara wa kiongozi mkubwa Rais au waziri mkuu

hii gari iliwekwa under seige. yaani hawa ma-mbwa waliokaa dirishani walikuwa kwenye iyo gari ndogo, tinted waki-drive sambamba na iyo gari nyekundu. dereva wa gari nyekundu na abiria wake hawakujua kuwa ndani ya gari ndogo kuna vibaraka wa mafisadi. nyuma ni deraya za mijibwa ambazo ni obvious zilikuwepo kwa sababu siku iyo ilikuwa inajulikana kuwa kutakuwa na mvutano wa raia na askari. kwa iyo, mwenye gari nyekundu hakuwa na shaka yoyote.

sasa amefikishwa mahali (sambamba na iyo gari ndogo) ambapo nyuma njia imefungwa kwa deraya za FFU. Jamaa (waliokuwa wanadhaniwa na mwenye gari nyekundu kuwa ni raia) wanashuka kwenye gari na anapigwa butwaa kuona kuwa kumbe ila gari aliyokuwa nayo sambamba si ya raia. ni ya mbwa!!!. nyuma njia imefungwa na mbwa wengine. mbele nadhani kulikuwa na upenyo maana baada ya mbwa mmoja kuvunja kioo kwa kirungu, jamaa alifurusha ile gari kwa mwendo kasi akatokomea.
 
Nisaidieni kunifahamisha kidogo,tofauti kati ya majambazi na hao polisi ni nini? maana matendo yao yanashabihiana kabisa.
 
Sielewi ni nini kinatokea hapa na nili na wapi?

maandamano.jpg

Inaonekana kama kuna mama ndani anakwepa kipigo cha polisi na nyuma kuna msafara wa kiongozi mkubwa Rais au waziri mkuu

Lucy Oenya ... Mbunge Viti maalum
 
Baadae walivunja vunja vioo vya gari na kumtoboa toboa dereva kwa virungu!
 
Nisaidieni kunifahamisha kidogo,tofauti kati ya majambazi na hao polisi ni nini? maana matendo yao yanashabihiana kabisa.

Majambazi ni watu wabaya,polisi ni mbwa wakali sana wanapiga hadi virungu....umeelewa?
 
Tofauti ipo, Police wanaiba na kuua kwa silaha zilizonunuliwa kwa pesa yako halafu majambazi wanaiba tu mara nyingi hawaui na wanatumia silaha walizopata kwa jitihada zao
 
Lucy Oenya ... Mbunge Viti maalum

Pia ndani ya gari hiyo alikuwepo Josephine Mushumbusi..walipopasua kioo wakampiga dereva ambaye mpk leo amelazwa hajiwezi, Lucy owenya baada ya kushukua alikimbia lakini alidodokea mtaroni,though aliwakwepa..ndipo hao mbwa wakaamua kummaliza josephine na kisha kutokomea...Kenge wakubwa!
 
Back
Top Bottom