Watalii kutokuja tena Tanzania?

ThinkPad

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
1,844
232
Hii hali ilivyo sasa mbugani waarabu kuweka makazi yao namna hii , Kweli Mmarekani ataweza kuja mbugani na hali ikiwa hivi jamani hii mbona kubwa kuliko ni kwanini tujipotezee mapesa ya wazungu wakati wazungu toka enzi na enzi ndio ambao wamekuwa wakitusaidia,
sisi hata kama hatwendi mbugani kuangalia maliasili zetu ni uwezo tu ila tunazipenda sana tena sana ningependa Mbuga ziheshimiwe waachwe wanyama pekeyao wasiletewe usumbufu.
Lakini kwanini nyinyi tu jamani mbona Kenya haya mambo hayapo? are we stupid? %%%%#####**** griiiiiiiiiiiiiii




i680_fazza3tanzanya16.jpeg


i683_fazza3tanzanya18.jpeg


i688_fazza3tanzanya36.jpeg


i695_fazza3tanzanya122.jpeg
 
Jamani msisahau ile barabara ya lami inayokwenda manyara ilijengwa kwa pesa za hawa waarabu wakati wa utawala wa mwinyi sasa tunalipa madeni na mpaka wanya wote wataisha.
 
If they pay dues as per our own terms being an arabs to me is not a probe, the issue comes when the total business of tourism in our country surrounded by day to day unanswered questions.

Let us ask mama mkubwa Mwangunga: Are we getting anything from them being at our land?
 
Nimeshawahi kuwinda na kuona wawindaji wengine. Lakini hii, sijaona tena. Looks as if huyu jamaa yupo katika mazoezi ya kivita!! Is this really our Tanzania?

i688_fazza3tanzanya36.jpeg



i695_fazza3tanzanya122.jpeg
 
Tukisema hapa kuna watu wataingia kwa nguvu zote kutetea serikali hii kama vile hawana akili nzuri. HUU NI UPUMBAVU MTUPU.
 
Hivi tumelogwa??? Mie sio mshirikina ila naanza kuhisa iko namna katika akili zetu ambayo lazima nguvu za giza zimetumika kutufanya hivyo. siobure
 
The issue hapa ni yale yale ya POLITICS OF HATE na NARROW MINDEDNESS ya baadhi ya wachangiaji humu

Je hizo picha zingekuwa za akina Prince William au royal family ya Britain isingekuwa tatizo lakini kosa la hawa jamaa ni asili yao sasa itatafutwa kila namna ya kuwafanya waonekane hawafai and so on

Nyie mshatangaza utaliii ili wageni waje wa kila namna na hawa wanaenda kuwinda hilo lishakuwa kosa?

Kama huko Loliondo hakuna huduma mnazotaka sasa hilo nalo kosa la Sheikh Mohammed?

acheni kuwa na mitazamo finyu...mnajua fika tatizo ni SERIKALI na si jukumu la hao waarabu kupeleka maji na huduma za afya huko hilo ni jukumu la serikali yenu na kama mnatafuta mchawi then huko ndiko kwenye mchawi wenu na si kuanza kutafuta uchawi kusipo

halafu so far sijaona hata tone moja la ushahidi kuwa yote ambayo yanasemwa kuhusu Loliondo ni kosa la waarabu au kwa sababu ni easy target?


If anything wabaya wenu ni hao mnaowatuma wanegotiate hiyo mikataba yenu na bila kusahau wanasheria wenu. Mimi at this moment nishaacha kulaumu external forces kwenye hii mikataba ambayo hamuishi kulalamikia


hebu mie niende nikasome episodes za Kafulila na Zitto.
 
MASIKINI HACHAGUI MFADHIRI.....................
Tutahuuuuuuuuuuuuta kuwajua kwa vilemba
jk anahisa zake utamwambia nini kuhusu hili wakati maslahi yake yametimia?
 
duh hapo hata Ossama atapatamani na kupandikiza vitu vyake! kwanza ebu tuwe na mtiririko flani, hawa waarabu wapo mbugani,kule kuna ile hotel waliojenga wamarekani,kumbuka viongozi wakubwa wa staes wanafikiaga mle pia wazungu wengi ifluential kama kina abrom mlemle! hatuoni kuna km long term plan hapa? hata km haipo itatekelezwa?sisi hatufagilii wazungu la hasha tunafagilia anaetupatia faida, analinda mazingira yetu, anatuheshimu, asiyekuwa dangerous,sasa hii nchi kina Kikwete wanaipeleka wapi?utauziaje mtu hifadhi ya taifa? imetokea wapi duniani kma si tanzania peke yake? oh Allah have Mercy on us ur children
 
hapa ukimwangalia game theory alivyo kwenye picha ndivyo wenye nchi walivyokata tamaa kwa jinsi mambo yanavyoendeshwa......................tunaishia kushika tama
 
Back
Top Bottom