Watakuwa hawajanichakachulia kweli mchumba wangu?

Je wewe ungekuwa free bila strings ungekuwa hujachakachua kwa muda huo? je unaweza kuhimili?
Jua kwamba yeye anafuatwa na watu wengi kwa hiyo lazima kuna wakati atanasa tu maadam haupo kuzuia mitego! Pole
 
Je ulishakaa ukafikiria kuwa mwenzi wako anafikiri kama wewe kwamba lazima utakuwa unachakachua uko uliko? What make U think kwamba unaaminika kwake lakini wewe humuamini yeye? Let me tell U wewe ndio unamfahamu mwenzi wako vizuri ili swala la kuchakachuliwa ni wazi toka ndani ya moyo wako kutakuwa na jibu! Kama nilivyosema think positive ukimkaribisha shetani hapo itakula kwako full.
 
labda na yeye anaweza kuwa anawaza kama mimi ila cha muhimu nimegundua natakiwa niwe na mawazo positive muda wote ili nisimkaribishe shetani!
Je ulishakaa ukafikiria kuwa mwenzi wako anafikiri kama wewe kwamba lazima utakuwa unachakachua uko uliko? What make U think kwamba unaaminika kwake lakini wewe humuamini yeye? Let me tell U wewe ndio unamfahamu mwenzi wako vizuri ili swala la kuchakachuliwa ni wazi toka ndani ya moyo wako kutakuwa na jibu! Kama nilivyosema think positive ukimkaribisha shetani hapo itakula kwako full.
 
Pole sana kaka.....usiwe na hofu..jamaa wote mji huu wanajua kuwa ni mchumba wako so wanamlinda kama CRDB...utamkuta salama silmini.....I am sure uliacha umembandika Logo yako kwenye paji la uso.....Don wore........
 
ha ha aha ha aha Te te te te .....Asante kwa pole hiyo bwana
Pole sana kaka.....usiwe na hofu..jamaa wote mji huu wanajua kuwa ni mchumba wako so wanamlinda kama CRDB...utamkuta salama silmini.....I am sure uliacha umembandika Logo yako kwenye paji la uso.....Don wore........
 
usiwe na hofu natumai wakati unaondoka mliusiana vyakutosha, la msingi mtakapo onana kabla ya kuoana kama mpango mnao mkapime.
 
Wana JF ni muda wa zaidi ya mwaka mmoja sasa sijaonana na Mchumba wangu amabaye hata Engagement tulishafanya.Huku nilipo nipo kikazi na ninaamini kuwa nikirudi nitamkuta salama. Hata hivyo najiuliza kweli nitamkuta Salama au watu watakuwa wananichakachulia? Hofu ninayo sana kutokana na Maisha ya sasa je Nikirudi nifanyaje ili anagalau niweze kuwa na Imani nae?[/COLOR]

Mpime vipimo vifuatavyo
1- Modulus of Elasticity ya u#$ke wake
2- Radius of Gyration
3-Viscousity Index Ratio ya seminal Fluid yake

NB:- Vipimo vyote hivi shart usiwe umevaa mpira kwa sababu friction factor inaweza kuharibu matokeo sahihi ya vipimo

Ni maoni tuu
 
Kweli haya ni maoni tu

lazima wananchi watingishe kidari kama wewe unavyofanya huko lakiniusijali kwani wanaondoka nayo ? wanachakachua alafu unaachiwa . nenda kapimeni kabla ya chochote .
 
Wana JF ni muda wa zaidi ya mwaka mmoja sasa sijaonana na Mchumba wangu amabaye hata Engagement tulishafanya.Huku nilipo nipo kikazi na ninaamini kuwa nikirudi nitamkuta salama. Hata hivyo najiuliza kweli nitamkuta Salama au watu watakuwa wananichakachulia? Hofu ninayo sana kutokana na Maisha ya sasa je Nikirudi nifanyaje ili anagalau niweze kuwa na Imani nae?

Ukirudi mkapime ukimwi tu mambo hayo mengine ukiwaza sana utajipa presha zisizo na maana,acha hisia na vitu vya kusikia muhukumu mpenzi wako kwa utakavyoona na macho yako tu.
 
he hata wewe kama si kuwa nchi zenye msimamo mkali...ungeshachakachua siku nyiingi...
mbona una wivu hivyo,si inaoshwa tu...afu inatumiwa tena,lol:embarrassed:
Hahaha....... Hii imenifurahisha sana....
 
Kwahiyo hata kama alikuwa anakamuliwa nivumilie tu?

Mh sasa na yeye akifikiria kuhusu wewe kuwakamua wengine unafikiri itakuaje???

Mi nahisi wewe unafanya mambo yako kwa wengine na ndo maana unakuwa na wasiwasi. Kama wakamua wengine ujue "Mla vya wenzake na vyake huliwa vilevile..."
 
Wacha wivu kaka!!, Huyu ni Mchumba, na jee akiwa mama watoto ita kuaje???, Vumilia tu na kuwa na imani, laa sivyo, kule sumbawanga kuna wataalam wa kufunga Engine!!!!!!!!!!(LOL)
 
Wana JF ni muda wa zaidi ya mwaka mmoja sasa sijaonana na Mchumba wangu amabaye hata Engagement tulishafanya.Huku nilipo nipo kikazi na ninaamini kuwa nikirudi nitamkuta salama. Hata hivyo najiuliza kweli nitamkuta Salama au watu watakuwa wananichakachulia? Hofu ninayo sana kutokana na Maisha ya sasa je Nikirudi nifanyaje ili anagalau niweze kuwa na Imani nae?
Uwe na Imani , Otherwise naye akiseme huyu jamaa mwaka mzima hana mtu kweli ? mtaishia kwenye maswali yasiyo na majibu .
 
Hapana mawasiliano ninayo poa tu sema lazima niwe na shaka

Acha kujitafutia homa ya moyo bure; tuanzie kwako mwenyewe wewe hukamui kamui huko uliko? Unaweza usiamini lakini mara nyingi wasiwasi huu hujengwa katika mazingira ambayo huenda wewe umo............nadhani umenielewa!
 
Back
Top Bottom