Wataalamu wa mtandao naaombeni msaada.

FADHILIEJ

Senior Member
Nov 5, 2010
132
18
Wana JF naombeni kama kuna mwenye utaalamu wa kutuma habari au taarifa kwenye mtandao anisaidie,namaanisha hata kama sina website,najua huenda suala hili likahitaji shule ya mda mrefu lakini just kupata ideas.

Ahasateni.
 
Weka wazi zaidi suala lako-na utoe mfano.
but kwa idea nilioipata toka katika suala hili, rabda unamaanisha kitu kama twitter.com
 
Wana JF naombeni kama kuna mwenye utaalamu wa kutuma habari au taarifa kwenye mtandao anisaidie,namaanisha hata kama sina website,najua huenda suala hili likahitaji shule ya mda mrefu lakini just kupata ideas.

Ahasateni.
Kwanza fafanua hapo kwenye red!
 
Mfano nina product fulani na ninataka kuujulisha ulimwengu au ninataka kutoa taarifa ya tukio fulani mfano ajali,nk.

Nadhani mmenipata.

Asante
 
Mfano nina product fulani na ninataka kuujulisha ulimwengu au ninataka kutoa taarifa ya tukio fulani mfano ajali,nk.

Nadhani mmenipata.

Asante
Mkuu hapo itategemea unatuma katika mtandao upi, mfanao hapa jf unaanzisha topic katika jukwaa husika na hii ni katika mitandao ya kijamii kama fb, tweeter, blogs na forums mbali mbali ni bure kupost habari,
lakini kama unataka kutangaza bidhaa zako unamaanisha hayo ni matangazo, itabidi utoboke mfuko kulipia matangazo yako, ingawa nadhani ipo mitandao inaruhusu watu kuweka matangazo yao
 
Asante kwa mawazo,nitajaribu kuifanyia kazi.
 
@FADHILIEJ...

Originally Posted by FADHILIEJ:
Mfano nina product fulani na ninataka kuujulisha ulimwengu

Kaka, kwa hapo nakushauri tumia hii website yangu ya JigambeBlogs - Blog and Earn Hapa unaweka product yako, kama kwa mfano una hotel yako ya kitalii, unataka ipate exposure na google rank ipande kwa juu unachofanya unaenda JigambeBlogs, unaclick register, una click advertiser then unacreate account. After that unaingia kwenye account yako halafu una-create opportunity (ni opportunity kwa bloggers kwani watalipwa kwa kuandika kuhusu hotel yako) halafu unatoa detail zako za hotel yako ya kitalii na unaamua kua kila blogger atakayeandika kuhusu hiyo hotel yako ya kitalii utamlipa kiasi gani cha fedha na pia unaamua kua waandike bloggers wangapi ili bajeti yako isizidiwe. Unaweza kuweka na picha unazotaka hao bloggers watakao andika wazitumie. Bloggers wao watakua notified na JigambeBlogs (by email) kua kuna opportunity mpya, wakija wataiona n wataiandika na watalipwa halafu na wewe utafaidi kwani hotel yako itapata popularity!

Welcome for further inquiry!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom