Wataalamu wa kuchakachua wote

IrDA

JF-Expert Member
Aug 26, 2010
743
350
Jamani e,wataalamu wa kuchakachua free internet mpoo??...jamani nina laini yangu ya airtel sijawahi kuifanya chochote ila cha kushangaza toka mwezi wa kwanza internet yake ni bureee kabisa na sijawahi kujiunga na bundle kwani nikiunganisha inakataa....mwenye mautundu awasiliane na mimi nimpe laini yangu aifanye testing kisha akigundua chochote aje akipost hapa ili wote tuchakachue tutumie bure.Nimeona sio vizuri kula peke yangu
 
Duuh ngoja nami wataalam wanisaidie kuchakachua modem yangu ya voda,nitumie mitandao yote nami nile raha,sio kila cku watuibie wao tu
 
download zte join air halafu uinstall hiyo program ya join air itakusaidia kutumia mitandao yote..
 
Jamani e,wataalamu wa kuchakachua free internet mpoo??...jamani nina laini yangu ya airtel sijawahi kuifanya chochote ila cha kushangaza toka mwezi wa kwanza internet yake ni bureee kabisa na sijawahi kujiunga na bundle kwani nikiunganisha inakataa....mwenye mautundu awasiliane na mimi nimpe laini yangu aifanye testing kisha akigundua chochote aje akipost hapa ili wote tuchakachue tutumie bure.Nimeona sio vizuri kula peke yangu

Hio si net buree ni line ya boom club (onlly 20 mb ) hebu try kudownload file kubwa then nambie, file kama la mb 50
 
sio boom club kwasababu leo nimedownload file la assasin creed 4.6 gb bureee
 
Me pia nilinunua line ya tigo mkoani iringa-karibu na garden{posta}.Nilitumia intanet ya bure mwaka mmoja na nusu ndipo wakaanza kukata hela,sikuifanya ki2 chochote na ilikuwa ina download large files kama kawa
 
iyo line unayotumia ni ya bbom club, line za boom club zinapewa 20mb daily. so usione ni muujiza
 
Duuh ngoja nami wataalam wanisaidie kuchakachua modem yangu ya voda,nitumie mitandao yote nami nile raha,sio kila cku watuibie wao tu

ningekuwa naweza kuweka link ningekuwekea ila kuna mdau humu alielezea jinsi ya kutumia nokia pc ambapo unaweza kutumia line zote xo fanya kusearch humu ndani utapata jibu.
 
Jamani tujifunze utaratibu wa kulipa, kama wanatumia pesa zao kukupa wewe service sasa kwa nn wataka chakachua???
 
Kwa nchi za wenzetu gharama ni ndogo sana, hivyo kama umetumia gharama za Internet kwa kulipiakwa mwaka mmoja ni sawa na gharama za miaka 10 ughaibuni, hivyo kuchakachua suna
 
Back
Top Bottom