Elections 2010 Wataalamu wa IT walioandaliwa kuchakachua matokeo.

Manyema

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
645
1,637
gazeti la mwanahalisi la jana liliandika kuwa miraji kikwete amefungua ofisi ya CCM isiyo rasmi mtaa wa undali upanga no.175 ambako kuna wataalam wa IT aliyosoma nao Bangalore India walioandaliwa kuchakachua matokeo. wana JF kwa yeyota anayewafahamu anaweza kuwaweka hadharani tuwajue...!
 
Hao ma IT kwanza wana Age ipi?
Wameangalia nao Alama za nyakati au ni njaaaa?
Wanadiliki kuangamiza kizazi kijacho kwa akili zao kabisa?
Hukumu yaja kwa wale wote wanao pinga mabadiliko yasitokeee kwani by 2015 lazima katiba itakuwa imebadilika sasa hapo ndipo waliotumia madaraka yao vibaya ndipo tutawakuta kiti cha pilato.

What a Shame on IT FIELD in this Country
 
Labda kamuulize huyo Saidi Kubinua hao "wataalam wa IT" watabadilisha vipi matokeo? Au ndiyo mwisho wa uwezo wa "investigation reporter" wetu ndiyo umeishia hapo kwenye kuripoti tu kuwa kuna hao watu wanaoyarishwa "kuchakachua" matokeo?

House of great thinkers indeed! :A S 13:
 
tUNAJUA WEWE UMESHIBAKWA NA MAFISADI TULIA UTAPATA MAJIBU
 
... Hicho kitengo cha IT cha CCM chenye makao makuu upanga ni kwa ajili ya nini? Wameajiriwa na CCM. Wamepangishiwa pango na CCM?. Ni kikundi hatari ambacho kwa nchi huru Polisi wangewahoji kujua ofisi hiyo inamasilahi gani kwa taifa hili. Watu wasiozidi watano kupoteza mwelekeo wa Watanzania 19million kwenye matokeo ni hatari sana.

Jen Shimbo hao ni akina nani, na wanafanya nini!!??. Hao ndio watakao leta vita na wanahatarisha amani ya taifa letu. Wasakwe na wakamatwe wote.

Hongera sana Jen Shimbo kwa kuwa umeshatekeleza.:bolt:
 
Back
Top Bottom