AlP0L0
JF-Expert Member
- Apr 23, 2011
- 6,043
- 4,248
fata nyuki ule asali.....
Fuata nyuki utoke manundu.
fata nyuki ule asali.....
Mi naiona imekaa kidem dem zaidi !!
Mi naiona imekaa kidem dem zaidi !!
Matola big up sana sio kila social network uwepo sometime ni ujuha tu wati wako busy hakuna wanachomake zaidi ya kupoteza muda. Mie Jf ndo mpango mzima.Mkuu inategemeana na interest nakubaliana na wewe ni ujinga kuwepo kila social network unakuta mtu yupo twitter hafollow wala hana follower yeye yupo tu.
Inabidi sometime uwe capitalist uwepo sehemu ambayo una interest tu mfano business flani inakufanya uwe sehemu flani kama vile wanamuziki na wacheza filamu wanavofanya instagram
Matola big up sana sio kila social network uwepo sometime ni ujuha tu wati wako busy hakuna wanachomake zaidi ya kupoteza muda. Mie Jf ndo mpango mzima.
Ukiacha viber na skype ambazo sometimes haziko clear kwenye kuzungumza mi nimejiweka kwa hawa LINE jamaa clear anywhere hata kama huna internet ya kasi nzuri wako poa sana nishapiga chini skype na viber kwenye matumizi ya internet call.
Ki vipi?
Facebook inataosha sana, ukiwaendekeza hawa Wazungu utakuwa kama chizi kwenye mitandao, mimi hata hiyo twitter sina account.
Kwa mtazamo wako mkuu king kong 3 mtoto wa kiume kama wewe daily unapost picha picha zako sijui uko na nani! unakula nini! Umevaa viatu gani...jinzi gani sijui mara umepoz na kivest chako mara uko na shemeji pale mnapigana mabusu..mara unatuonyesha mtoto wako..!! Hayo si mambo ya watoto wa kiume wenye kujitambua kama sio kujielewa
Acount nnayo tupia maujanja mura !!
mkuu sio lazima uwe una post picha za selfie tuu.kwa mfano mim napost na ku-hashtags pic zinazo dsplay kazi zangu na product zinazotokana nazo.nimepata network base ya followrs frm around the world.ila kuna madogo wao kila kukicha ni kutupia wakiwa bich,club nk.
Kwa mtazamo wako mkuu king kong 3 mtoto wa kiume kama wewe daily unapost picha picha zako sijui uko na nani! unakula nini! Umevaa viatu gani...jinzi gani sijui mara umepoz na kivest chako mara uko na shemeji pale mnapigana mabusu..mara unatuonyesha mtoto wako..!! Hayo si mambo ya watoto wa kiume wenye kujitambua kama sio kujielewa
Mbona ina following na followers kama twitter,what for?