wataalamu naomba ushauri.

Kibwagizo

Senior Member
Mar 21, 2012
130
8
Tuna kikundi cha kusaidiana na tuko katika mpango wa kukopeshana.Sasa wanaumoja wanataka kikundi kiwe na utunzaji wa data zote za chama wa kisasa( kutumia computer). Sasa basi nimeona nijaribu kupata mawazo yenu juu ya vitu vinavyohitajika na je? Jinsi ya kuendesha system nzima.
 
Back
Top Bottom